Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Wow yaani katika essay yangu yote ya maneno 1500 kitu muhimu kuliko vyote ulichonotice ni hicho tu?... Come on! I thought you were smart.Hee jamani we kaka ni noma! Warembo wenyewe wanajileta kwako. Nyie ndio wale mnaoitwa Sukari ya Warembo?!
Nahisi hukumuelewa mwenzio,alikosea padogo lakini hukumuelewa,siku hizi wadada wengi wanathamini mtu mwenye kitu au position,unaweza muongelesha mtu mtaani akakupuuzia alafu siku akikukuta kwenye position yako au eneo lako la kazi ndio anakuona wa maana analeta ukaribu.Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
acha unafki wewe, halipendwi jitu, zinapendwa pesa. Wewe ni mnafki mkubwa.Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
πππ Nice try too bwana Sumaku!Wow yaani katika essay yangu yote ya maneno 1500 kitu muhimu kuliko vyote ulichonotice ni hicho tu?... Come on! I thought you were smart.
"Sukari ya Warembo?" what is that, a compliment?
Btw kote uko sahihi except mimi sio sukari ni more of a magnet.
but you're not so far from the truth, at least you tried.
Una maoni mazuri. Lakini sifa kubwa ya wanaume wanaowavutia sana wadada ni "Kutojali". Ni kutojali ikiwa mwanamke unayemtaka, kumuomba namba, kuomba kutoka nae out au chochote atakubali au la. Ni Kutojali namna mwanamke anavyokuchukulia. Avoid seeking validation.Nahisi hukumuelewa mwenzio,alikosea padogo lakini hukumuelewa,siku hizi wadada wengi wanathamini mtu mwenye kitu au position,unaweza muongelesha mtu mtaani akakupuuzia alafu siku akikukuta kwenye position yako au eneo lako la kazi ndio anakuona wa maana analeta ukaribu..Nilichojifunza ni kwamba ukikutana na mdada kama ipo ndani ya uwezo play your best card,acha ajue wewe ni nani kama una hiyo karata,ili kupunguza uwezekano wa kukataliwa,vinginevyo play low kama una uhakika wa kuonana tena,ila huyo jama yako alizidisha sana.
Sijapenda ulivyokuja kunianika hapa.Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili. Usipovipata njoo nikutumie bure tu. Utachangia bando lakini.
noma sanaVishoka wa mapenzi hao
Mpaka hapo nimegundua roho inakuuma sana ulivyomkosaNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

Nimevutiwa na wewe pia na ukweli ulio tuponya sisi wanaume tusojiamini but all in all ππ‘ππ§π€π¬ π¦ππππ¦Dustbin unaijua?
Watu hampendi kujichosha kabisa. Eti "wakikuona wanapanua miguu kabisa"[emoji23]Kwahiyo nikisoma hvyo vitabu tayari wanapanua miguu wakiniona au vipi ... Kushikilia facts Kuna Muda NI Kama kuufanya fikra kuwa rigid
umegusa mulemuleHaha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??
Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!
C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii hati ya kiume kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mwandiko kama dume vile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna lolote unatafuta hela ya bando tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SHago?