Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Kwa hiyo mwamba watu hao wanakukata stimu kinoma noma
 
Yani niwe na nia ya kumtafuta halafu nimuandike humu? Is this possible?!
Si ajabu kuona mwanamke anampomda mshikaji lakini mwisho wa siku anaishiwa kuliwa na mwanaume huyo huyo.
 
Nitumie hicho kitabu cha mwanaume wa dhahabu afu nije nikutongoze
 
Object or a goal determines the approach..james alipokuona automatically ...aproach ikaja ni hiyo..materialistic.na hii mara nyingi inatumika kwa ma manz cheap and desparate.hatuna uhakika kama kweli alikukosa..maana mpaka utake time kucompose hizo detail zote..kuna kitu unaficha either uliliwa saa hii unajifariji because unajichukia kwa kuonekana cheap..
 
Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Sasa nan kamkosa mwingine hapo. Umejipunguzia chanzo cha mapato!
 
Siyo mbaya sana James atapata tu pisi nyingine halafu maisha yataendelea tu, Mademu wenyewe mbona wengi tu
 
Hivi kumpata mwanamke kuna ugumu gani (kama mawe yapo) mpaka ukasome vitabu
 
Upo sahihi kabisa. Na hata atakaemkubali kwa sababu hizo anazozitoa basi atakuwa hajitambu. Hiyo inaleta picha kuwa amakuweka kwenye kundi la wanawake malimbukeni. Wanaoshtuliwa na magari na kazi nzuri. Farasi kabisa!
 
Mkuu naamini aliumia na anaendelea kuumia kwa wewe kuondoka bila kujua unafanya nini na uko wapi kimaisha amini nalokuambia maana alitegemea na wewe utamwambia mambo yako hasa akiamini anakuzidi
 
Naona umemstahi sana ametushushia heshma sisi natamani ungemchana japo kidgo haiwezekani kwa umri aliyonao anze na swaga izo zilizo pitwa na wakati
Wanaume tuko wa dizain nyingi wengine wakitongoza huwa ponda wenzao hasa kama anajua mwingine anayekula mzigo au kufuatilia, utasikia achane na yule furani hana issue wala maajabu na uongo mwingi na uzushi mara mimi ndo bora nina moja mbili yaani upuuzi mtupu
 
[emoji23][emoji23]
 
Wadda wenye matako makubwa mnaringa
 
Labda wa ulaya. Hapa bongo hata wenye pesa bado wanaomba pesa. Wanatofautiana mahitaji tu ila wote wanaomba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nani aliyewadanganya ukiwa na hayo magari unapata kila mwanamke unayemtaka? Ndio maana mkiwa nayo mnahangaika kuyatangaza? Legeza ubongo kidogo. Acha uTomaso. Chukua madini yatakusaidia.
Mmmmmmhmn we umeamua tu kukaza fuvu na ubishi ila ukweli ni kuwa mnapenda wanaume wenye magari. Na mpo tayari kumuacha mwanaume mwenye upendo wa dhati na kuwa na mwanaume mwenye gari na familia yake.

Hizo pembejeo zenu mnazopakaa usoni na hilo jua la Dar unadhani mnaishi vipi kwa mfano. Gari ni zaidi ya pesa kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…