Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Heri quality kuliko quantity...!

Una date na mafisi wa ajabu ajabu ni mikosi tu na hakuna faida yyte utakayoambulia.. !
Ni bora kuwa na mtu mmoja anayeeleweka

"ONE Good Girl is worth a thousand bitc#es"
 
Mwanamke mwenye gari havutwi na mwanaume asiye na gari
 
Ndg zangu wahaya mpoooo!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu tuletee Nassoro, au umeghaili
 
Hahaaa hilo neno "aaah" sasaa....
 
Sorry katika kusoma maelezo yako na complain zako nimeona vitu viwili tu ambavyo ni

1. Kula chakula cha 6500/= na ukakubali ulipiwe tip! Hapa sana sana ni wali maharage tena mgahawa wa mtaani au bar ya kawaida sana, maana bar za kiwango wali na mboga zake si chini ya 12,000 hadi 15,000

Uliagiza hivo sababu ndio uwezo wako,


2. Kuomba utumiwe vocha za buku buku ili uwauzie (kushare) vitabu ulivyosema hapo juu

Hii ni njaa isiyo na kipimo kudunduliza buku buku mitandaoni ikimaanisha huna reliable adequate kipato.

Conclusion yangu: una hasira na watu waliofanikiwa labda.
 
[emoji23][emoji23]
 
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Bila hivi hamtombeki, ulitaka akwambie anaishi nyumba ya makuti, choo cha kulenga choo mlango gunia chumba anaishi mlango pazia na pazia sio pazia ni shuka la kujifunikia analala kwenye mkeka hata godoro hana ana redio ndogo tu ya mabetrii chumba anachoishi ni gofu lenye nyufa nyingi na hakuna umeme chumba cha Giza usafiri hana usafiri wake mkuu ni TZ 11 by ngoko anachafua viatu na mavumbi daily angekwambia hivyo ndio ungemwelewa ungemkubaria akutombe au sio? Fujo ni Fujo Mura
 
Yani niwe na nia ya kumtafuta halafu nimuandike humu? Is this possible?!
We una nini cha ziada? Wenzio wanaongea na watembea kwa Miguu km wamekula Miguu ya kuku siku wakiopoa danga lenye gari wanaona wakati wa kusafisha nyota na kuondoa GUNDU umewadia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…