Mbona unasema hawajui kutongoza, then unasema ni aina yao ya kutongoza!Wengine hawawezi kutongoza na hiyo ndio huwa gia yao. Wengi tu,so ni aina yao tu ya kutongoza
[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unasema hawajui kutongoza, then unasema ni aina yao ya kutongoza!Wengine hawawezi kutongoza na hiyo ndio huwa gia yao. Wengi tu,so ni aina yao tu ya kutongoza
Heri quality kuliko quantity...!Kuna wanawake 100+wangetoa namba na jamaa angeenda kula mzigo siku hiyo hiyo,bahati mbaya alikutana na wewe ambaye haushoboki na hivyo vitu.
Wengi wenu,Wala hawatongozwi,hujitongozesha wenyewe tu.
Any way huo ni mtazamo wako,amekukosa wewe kutokana na msimamo wako na mtwzamo,lakini atapata wengine 100+nothing to loose here dear!!boys will always be boys.
Mwanamke mwenye gari havutwi na mwanaume asiye na gariCha muhimu ni kwamba kama umejaribu kumvutia mdada kwa kutumia mali, magari au pesa basi usitarajie upendo. Hakikisha huwi na hisia zozote za kweli na huyo mwanamke unayemwita rahisi.
Lakini kumbuka wanaume wanaowatawala wanawake ni wale wanaojiamini bila kutegemea kuthaminiwa kwa vitu wanavyomiliki.
Pia kuna wanawake wana pesa na magari mazuri kushinda wewe? Utawavuta na nini? Kamba? Au utaendelea tu kutafuta wanawake masikini na wasiojiamini?!
Ndg zangu wahaya mpoooo!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili.
Ni kitabu kizurisana kinafundisha nilikuwa siwez malizasiku Hadi nikisome kwakweliKweli mkuu ila nilijifunza mengi sana
Na hicho kingine alichoandika mleta mada sijakisoma ila kama una copy naiomba please
Sasa nani kakuambia we ni mrembo?Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Maybe She was a b**chSasa humtaki mkaka wa watu ukakubali akulipie msosi Why?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo vitabu ungempa james by the way Ahsante kwa kutukumbusha ila tunajua.[emoji41]
Ni kitabu kizurisana kinafundisha nilikuwa siwez malizasiku Hadi nikisome kwakweli
mwandishi alitulia
ImebidiUtakuta wanatiana ujinga "wewe tafuta tu hela, hakuna mwanamke atakayekukataa". Wanasahau kutafuta na "akili".
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuletee Nassoro, au umeghailiWale mnaoona tatizo la James hongereni. Wale mnaoumia kihisia kwa kujivisha viatu vya James poleni na mnisamehe. Lengo sio kuwaumiza. Lengo ni kuwafumbua macho.
Siku zote ukumbuke kuwa kuna wanaume wana kipato kama chako au kidogo zaidi, sura kama yako au mbaya zaidi, urefu kama wako au chini ya hapo na bado wanawavutia wanawake ambao wewe unahangaika kupata ukaribu wao.
Nadhani leo inabidi nilete na uzi wa Nassoro. Yeye hakuleta swaga za James lakini alifanya makosa mengine. Nitamleta kwenye kamati tumjadili.
Hahaaa hilo neno "aaah" sasaa....Wanaume wa hivi wanaboa aisee..kuna mmoja nilipataga tabu sana mpk kuja kumzoea...mkichat mara akutumie picha za nyumba yke...mara vigari vyake...mara sijui naenda kikao serena...kesho nakutana na mkurugenz wa sijui wapi.
Akitransfer hela kwa mtu atakutumia mpk slip..(mamilioni kadhaa)
Akilipwa anakutumia[emoji3][emoji3][emoji3]..yn soooo boring
Ilibidi nimulizee mbona km we ni kabila fulan (lile la wapenda sifa)??
Nilipomzoea aah ...
Hivo sijavisoma Ila nitavitafutaMwanaume wa Dhahabu au
Unlock her [emoji3091]?
Inaonekana unapenda kusoma vitabu
[emoji23][emoji23]Sorry katika kusoma maelezo yako na complain zako nimeona vitu viwili tu ambavyo ni
1. Kula chakula cha 6500/= na ukakubali ulipiwe tip! Hapa sana sana ni wali maharage tena mgahawa wa mtaani au bar ya kawaida sana, maana bar za kiwango wali naboga zake si chini ya 12,000 hadi 15,000
Uliagiza hivo sababu ndio uwezo wako,
2. Kuomba utumiwe vocha za buku buku ili uwauzie (kushare) vitabu ulivyosema hapo juu
Hii ni njaa isiyo na kipimo kudunduliza buku mitandaoni ikimaanisha huna reliable adequate kipato.
Conclusion yenu: una hasira na watu waliofanikiwa labda.
Bila hivi hamtombeki, ulitaka akwambie anaishi nyumba ya makuti, choo cha kulenga choo mlango gunia chumba anaishi mlango pazia na pazia sio pazia ni shuka la kujifunikia analala kwenye mkeka hata godoro hana ana redio ndogo tu ya mabetrii chumba anachoishi ni gofu lenye nyufa nyingi na hakuna umeme chumba cha Giza usafiri hana usafiri wake mkuu ni TZ 11 by ngoko anachafua viatu na mavumbi daily angekwambia hivyo ndio ungemwelewa ungemkubaria akutombe au sio? Fujo ni Fujo MuraMwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
We una nini cha ziada? Wenzio wanaongea na watembea kwa Miguu km wamekula Miguu ya kuku siku wakiopoa danga lenye gari wanaona wakati wa kusafisha nyota na kuondoa GUNDU umewadiaYani niwe na nia ya kumtafuta halafu nimuandike humu? Is this possible?!