barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mwaka huu Chadema aibuu yetuWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Wa kuteuliwa hawezi kuwa PM! Ili upendekezwe na Rais kuwa PM ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwaNAFASI ZA UBUNGE WA KUTEUA ZIMEISHA?
Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!
Ambadilishe bila kulihusisha bunge??maajabuSidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Ni Aibu kubwa jitu zima linapost Uongo na uzushi mtandaoni, hiki ni kinyesi chenye harufu mbaya balaa.Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Kwani lazima agombee we jamaa?
Kama ilikuwa issue ya kupewa wizara nyeti so angeteuliwa tu.
Hebu tupishe Kyle.
Lakini wanapaswa kutambilika na kuapa kwa majina yao halisiWateule wa rais hawahitaji kuhakikiwa vyeti vyao, Paul Makonda kweli kawashika nyeti
Hivi ni kweli hizi mission huongozwa na bwana mkubwa??? Biiiggg ShameWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Hapa tatizo siyo jina bali elimu yake pia. Kama ni majina tu hata akina Mwigulu na Kigwangalla nao wamo.Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!
Kwa lipi baya alilolifanya?Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Aisee we jamaa unajidanganya sana.Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Kuna siku nilijichanaganya nilidhani hii ni id nyingine ya barafu yule Great Thinker original kutokana na kufafananaMakonda anawahenyesha sana, kama ni uwaziri ataupata tu. Kwa sasa ngoja asafishe jiji.
Mbu waking'ata bavicha wanamlaumu makonda, bavicha fc ikifungwa mnamlaumu makonda, chupi zikiwabana mnamlaumu makondo.
Kawabana hatari huyu jamaa!! Na bado, mumzoee tu na hizi sindano anazowapa maana he's here to stay!!