Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Makonda anawahenyesha sana, kama ni uwaziri ataupata tu. Kwa sasa ngoja asafishe jiji.
Mbu waking'ata bavicha wanamlaumu makonda, bavicha fc ikifungwa mnamlaumu makonda, chupi zikiwabana mnamlaumu makondo.
Kawabana hatari huyu jamaa!! Na bado, mumzoee tu na hizi sindano anazowapa maana he's here to stay!!
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Mwaka huu Chadema aibuu yetu
 
Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!

Kwa hiyo jina linafanya kwanza mtihani kisha likifaulu ndio unaenda mahakamani kuapa kuwa umebadili jina?
Hapo ngoma ni ngumu tuache ushabiki, ndio maana wanagombana kuwa kwa nini hilo walilisahau mpaka mkataba wa manunuzi unafanyika?
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Ambadilishe bila kulihusisha bunge??maajabu
In short ukiona wenzako wana kasoro sana basi ujue wewe ndio tatizo
 
Kwani lazima agombee we jamaa?
Kama ilikuwa issue ya kupewa wizara nyeti so angeteuliwa tu.
Hebu tupishe Kyle.
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Ni Aibu kubwa jitu zima linapost Uongo na uzushi mtandaoni, hiki ni kinyesi chenye harufu mbaya balaa.
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Hivi ni kweli hizi mission huongozwa na bwana mkubwa??? Biiiggg Shame
 
Kubadili jina inamhitaji mtu kuapa tu mahakamani.. Sasa hilo pingamizi sijui litawekwa vipi wakati kutakuwepo na hati ya kiapo inayothibitisha ubadiliko wa jina!
Hapa tatizo siyo jina bali elimu yake pia. Kama ni majina tu hata akina Mwigulu na Kigwangalla nao wamo.

Kwake itabidi athibitishe kama kweli amesoma hizo shule anazodai amesema Kama kwenye kesi ya Kihiyo 1996.
 
Pole sana mleta mada, pengine huelewi position ya RC Dar ni kubwa sana kushinda wizara nyingi
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Aisee we jamaa unajidanganya sana.
Unaongelea tume hiihii?
Unaongelea mahakama ipi?
 
Hivi mnao comment kwa kunyesha kukubari alichokiandika huyu jamaa mko vizuri? Kama siyo drop out za form two basi! Kilichoandikwa hapo juu haichukui sekunde kuona kuwa ni ujinga uliokusanywa pamoja.
 
Makonda anawahenyesha sana, kama ni uwaziri ataupata tu. Kwa sasa ngoja asafishe jiji.
Mbu waking'ata bavicha wanamlaumu makonda, bavicha fc ikifungwa mnamlaumu makonda, chupi zikiwabana mnamlaumu makondo.
Kawabana hatari huyu jamaa!! Na bado, mumzoee tu na hizi sindano anazowapa maana he's here to stay!!
Kuna siku nilijichanaganya nilidhani hii ni id nyingine ya barafu yule Great Thinker original kutokana na kufafanana

Aisee anisamehe bure
 
Back
Top Bottom