Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubishi we jamaa, anaweza akabadilisha madaraka ya moja Wa wateule ili spate nafasi.Atateuliwaje wakati nafasi zimemuishia mteuaji? Au unadhani anateua tuu kama anavyochukua fedha hazina bila utaratibu?
HAKUNA MUNGU.Astaghafililah! Mwenye sifa hiyo ni Mungu tu peke yake. Sio huyu "mungu mtu".....
Jina kaka!!Vyeti ni tatizo hata cha la saba hana
Asante kwa pole. Mbwa yule kapoteza maisha akimlinda mwajiri wake, lakini wapo mbwa tunaowapa majukumu ya kuwalinda waajiri wao (wananchi) na hawafanyi hivyo bali wanageuka kuwangata(kuwapiga virungu na risasi) na ndio maana na wao wakipigwa shaba kama mbwa wa Nassari huzuni huwa ni kidogo sana.Acha ubishi we jamaa, anaweza akabadilisha madaraka ya moja Wa wateule ili spate nafasi.
Kumbuka vya Dr Possi.
By the way pole na msiba Wa Kamanda kule Ara
Kijana katiba inataka mbunge ajue kusoma na kuandika tu sio kuwa na vyetiWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
SureJina kaka!!
Kugombea inabidi uwe Na majina halaliKijana katiba inataka mbunge ajue kusoma na kuandika tu sio kuwa na vyeti
ACHA UJUHA SIFA YA MBUNGE AJUE KUSOMA NA KUANDIKA HUO WAZIMU WAKO WA VYETI PELEKA KWENU REJEA KESI YA MBUNGE CHTALILO KAMA UNAJUA HISTORIA YA NCHI HII TOFAUTI NA HIVYO PUMZIKA KWA AMANIWakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Akichukua najiua!!! Haiwezekani!!!Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Umewahi muona PM aliyeenguliwa na mkuu yeyote?Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Kujiua si rahisi hivyo, kutamka sawa ila kutenda huweziAkichukua najiua!!! Haiwezekani!!!
Ujuha unauonyesha wewe! Sasa umesoma heading ya hoja? Kitakacho mpeleka mahakamani ni jina sio cheti. Yeye sio Paulo Makonda na sidhani kama atagombea kama DABACHA UJUHA SIFA YA MBUNGE AJUE KUSOMA NA KUANDIKA HUO WAZIMU WAKO WA VYETI PELEKA KWENU REJEA KESI YA MBUNGE CHTALILO KAMA UNAJUA HISTORIA YA NCHI HII TOFAUTI NA HIVYO PUMZIKA KWA AMANI