Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

Sizani kama wanaogopa mahakama, bashite wakiamua kusimamishwa anasimamishwa. Mapanga na risasi wanazo Hamna WA kuwazuia maccm
 
Atateuliwaje wakati nafasi zimemuishia mteuaji? Au unadhani anateua tuu kama anavyochukua fedha hazina bila utaratibu?
Acha ubishi we jamaa, anaweza akabadilisha madaraka ya moja Wa wateule ili spate nafasi.
Kumbuka vya Dr Possi.

By the way pole na msiba Wa Kamanda kule Ara
 
Eti hasara ya manunuzi ya mtulila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ubishi we jamaa, anaweza akabadilisha madaraka ya moja Wa wateule ili spate nafasi.
Kumbuka vya Dr Possi.

By the way pole na msiba Wa Kamanda kule Ara
Asante kwa pole. Mbwa yule kapoteza maisha akimlinda mwajiri wake, lakini wapo mbwa tunaowapa majukumu ya kuwalinda waajiri wao (wananchi) na hawafanyi hivyo bali wanageuka kuwangata(kuwapiga virungu na risasi) na ndio maana na wao wakipigwa shaba kama mbwa wa Nassari huzuni huwa ni kidogo sana.
Umenielewa?
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
Kijana katiba inataka mbunge ajue kusoma na kuandika tu sio kuwa na vyeti
 
Kwani wakiamua kumuweka nani atabisha, pia si amteue awe mbunge wa kuteuliwa ipi ampe hiyo nafasi.
Acha unyumbu wewe mtoa uzo.
 
Wakuu hii imepatikana mahali katika mawasiliano ya vigogo wawili. Ni kuwa jimbo la kinondoni lilikuwa limetengwa kabisa ili aje kugombea Paulo M katika mkakati wa kuja kupata uwaziri wa wizara muhimu.
Mkakati huo uliundwa na ukamshawishi aliyekuwa Mbunge aliyekuwepo na akakubali.
Sasa wakati wa kuanza kuandaa jinsi ya kuja kumuweka Paulo ndio wajuzi wa mambo wakawakumbusha kuwa kutakuwa na tatizo kubwa sana kwani lile pingamizi la jina lake lazima litawekwa na kwa vile hapo hata NEC ikimbeba uwezekano wa kwenda mahakama ya wazi ni mkubwa na watapoteza kila kitu.
Mzee kataarifiwa na kachukia sana, na sio ajabu kuna watu wakatumbuliwa kwa nini hawakuliona hilo kabla ya kuingia hasara ya manunuzi ya mtulila?
Mission Imebuma na huko ndani ni mtifuano. Stay tuned kwa habari zaidi.
ACHA UJUHA SIFA YA MBUNGE AJUE KUSOMA NA KUANDIKA HUO WAZIMU WAKO WA VYETI PELEKA KWENU REJEA KESI YA MBUNGE CHTALILO KAMA UNAJUA HISTORIA YA NCHI HII TOFAUTI NA HIVYO PUMZIKA KWA AMANI
 
Sidhani kama wanaweza fanya makosa Kama hayo...
Kiufupi magu kamchoka Majaliwa, Bashite atachukua nafasi yakr
Umewahi muona PM aliyeenguliwa na mkuu yeyote?
 
ACHA UJUHA SIFA YA MBUNGE AJUE KUSOMA NA KUANDIKA HUO WAZIMU WAKO WA VYETI PELEKA KWENU REJEA KESI YA MBUNGE CHTALILO KAMA UNAJUA HISTORIA YA NCHI HII TOFAUTI NA HIVYO PUMZIKA KWA AMANI
Ujuha unauonyesha wewe! Sasa umesoma heading ya hoja? Kitakacho mpeleka mahakamani ni jina sio cheti. Yeye sio Paulo Makonda na sidhani kama atagombea kama DAB
 
Back
Top Bottom