Tetesi: Mkakati wa kuvifuta CHADEMA, CUF waiva

Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa



Lizaboni

I see you working for your party!

Nothing to be ashamed of sir!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Lizaboni, avoid that mtaiingiza hii nchi katika civil war! Avoid that move! Wenye busara ndio maana hawakumkamata Raila pamoja na kujiapisha. Wanajua hata jeshini kuna wafuasi wengi sana wa Baba (wao wanamuitaBaba); wenye busara wakati wa kumwapisha waliwaondoa polisi wakawaacha wamwapishe na hapakuwa na shida yoyote. Raila is not a president! so what, why a furry! Kwa Kutumia busara they avoided all sorts of killings that would have happened!
 
mbona mna kiwewe hivyo?? upinzani unajiua wenyewe msimtafute mchawi, mnakimbiwa na viongozi wenu madiwani na wabunge then mnadai wananunuliwa..
Penye udhia penyeza................................
 
Let freeze them coz we are tired of these segreation of the opposition parties and need new the party by the name UNITED DEMOCRATIC PARTY
 
Hapa Tanzania ni kazi kubwa kuwaelemisha wafuasi wa kakobe na wachaga wa chadema hawa kuwaelemisha mpk mtu Mohammed afufuke
mambo ya kakobe, uchaga na mtume yameingiaje hapa ? usichanganye dini/kabila na siasa. kila mtu ana imani yake.
 
eden kimario Wakivifuta si ndio watawapa njia nzuri ya kuanzisha vuguvugu la madiliko kwani serekali iwe makini ktk kufanya maamuzi yoyote. Watanzania tumwombe Mungu atuepushe na maamuzi yatakayo iligarimu taifa.

Tukumbuke hivi vyama vina wanachama na wafuasi kwa hiyo sio vya kubeza.Tunisia ni Kijana alijiunguza tuu nadhani yaliyotokea tuliyaona kwa hiyo tusijaribu ktk hii nchi yetu yenye amani tulioachiwa na babu na bibi zetu pasipo kubaguana
 
Ni vema vyama vya upinzani vikafunga kamera za usalama kwenye makao yao makuu na nyingine za siri ndani ikiwa ni pamoja na vinasa sauti ambavyo vitakuwa vimefichwa ili kuweka kumbu kumbu ya njama zozote. Vile vile ni vema kwenye mikutano na maandamano yao wawe na vifaa vya kurekodi matukio yote kwa namna ambayo wale wahujumu hawataweza kujua kama kila kitu kinarekodiwa. Dunia sasa hivi imeendelea vifaa ni vingi vya kisasa msitegee uchunguzi wa polisi ili wajichunguze wao wenyewe. Hata wakati ule wa uchaguzi walipowavamia mlipaswa kuwa na line ambayo inapokea kila kitu kutoka kwenye kituo chenu cha kupokea matokeo na kusave ni lazima mtafute kila mbinu ya kuweka maovu yote hadharani kwa uwazi
 
Kwahiyo unataka wawaachie muandamane hata saa 1 usiku? Ndo maana mnaitwa wafuasi wa kibwetere
 
We haupo Tanzania? Vifaa vyote ulivyotaja mbona anavyo Nassari alitoka navyo masomoni Uk na Lema pia anavyo !
 
watashindana lakini hawatashinda.....

serikali imeelekeza nguvu zote kuuwa upinzani kwa gharama yoyote ile...

#26/04.......
Viwanda inajenga lakini? Tumeimba sana nyimbo: Serikali ya mataruma itakuwa ya viwanda...soon tunaanza kuelekeza nguvu kwenye uchaguzi, na viwanda tumeshajengewa vya kutosha bila shaka..
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Katika watu ambao hawana kitu kichwani na ambao si rahisi kupima kiwango cha dharau nilichowapa ni wewe , hivi mauaji haya yanayotendwa kwa ushirikiano wa polisi na ccm ili kupora ushindi huyaoni au unaleta ujinga hadharani ?
 
Nauliza swali.Je ni chama gani kweli nchini kwetu Tanzania nasikia watu wanasema kinamiliki mapanga na mashoka; na kila uchaguzi kinayatumia?

Ushauri;

Usinijibu mimi,ila kama kuna mtu ana majibu atusaidie kwa kuyapeleka kwa Mhe.Msajili wa vyama vya siasa ili akifute haraka sana!!!!
 
Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Ww mtu umerudi tena kwenye payrol ya lumumba?,kweli mtaan kumebana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…