Kweli mwizi haoni aibu yaani M avyofanya unyama kwenye uchaguzi utadhani nyinyi siyo binadamu wa Tanzania ya NyerereHakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Kwa msaada wa police nao mnaita ushindi?Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Mkuu chuki yako imepitiliza ni sawa kwako kudumisha fikra za mwenyekiti lakini si kwa chuki kiasi hiki ulichokionyesha, hivi huyo unaemchukia hivyo akipata nafasi ya kukutenda maovu itakuwaje?!?!?Mleta mada eden kimario umechambua hasa sisi huku kijijini kwa mbowe tumefurahi sana yaani wote akina mushi,mosha,akina mtui,manka,munisi,lema,mrema,ukoo wa mtei yaani wote wamefurahi na mchango wako koko
Punga ambalo limekuwa Punguani.Mkuu piga nyundo taratibu ukijua chadema kuna watu wana presha.Hoja kama hii itasababisha chadema wengi kulazwa kwa presha .Hurumia wagonjwa wa presha walioko chadema
Hivi huo nao mnajisifu mmeshinda baada ya kushindana!!!!!!!!!!!Kujitangazia ushindi wamezani ndio kushnda!!!!!Nyie jidanganyeni sana.Hakuna anayevifuta bali vinajifuta vyenyewe. Huwezi kushiriki uchaguzi ukaambulia kata moja kati ya 43 then ukasema chama kinafutwa
Mkaandamane msihofu hata mkiwa gerezani tutawaangalia wake zenu na wataishi vizuri tu26/4 D-day
Ingia barabarani hiyo tarehe. Ila hakikisha umenunua sanda na jeneza26/04/2018
save the Date..