Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
unaparta div. 1 kwa alama
za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani
tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii
siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa
MUNGU.
pasingetosha, kila baada ya dakika tano, tungepata maazimio mapya. Halafu hawa wa kina invisible, wameboresha au wameharibu? Mie naona wameharibu. Mtu akiquote post yako, kuitoa notification ni utata mtupu. Hata like nazo kuzisoma na kuziondoa eti mpaka uje kwenye profile, shida tupu. Nahisi wameharibu baadhi ya mambocha ajabu zaidi ni kwamba, islamic knowledge linafundishwa ktk shule ngapi nchi hii? Na ni kweli kwamba wanafunzi wote waisilam walifanya mtihani huu nchini!? Hawa jamaa wangechomewa misikiti je kamayalivyochomwa makanisa?
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.
Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-
1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?
NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
blaki Womani unaamini??? hebu fikiria nini kimetokea, matokeo ya somo moja yanaweza kubadilisha point za mtahiniwa kwa kiasi hicho? to me doens't make much senseKutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko
Wewe kwa upande wako unakubaliana na hilo?Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.
Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-
1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?
2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?
3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?
NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
Kutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko
Fafanua vizuri mkuu, mwanzoni huyo mdogo wako alikua na div III ya point ngapi? na sasa ana div I ya point ngapi? I smell something fishy in your post
Kutoka div III mpaka I maajabu nchi hii haiishi vituko
harudi alidhani hapa fb hahahaaaa! check quick stats za mtoja mada
Join Date : 23rd September 2007
Posts : 30
Rep Power : 551
Likes Received: 0
Likes Given: 0
Ni wastani wa wanafunzi wangapi waislam wamefanya uwo mtiani kwa sababu unaposema wanafunz wakiislam mi ninamdogo wangu yeye akufanya hilo somo.vipi kwenye masomo mengne wameakiki upya.
Kwa upande wangu naona hiyo siyo issue kubwaa kiasi hicho! Inawezekana wame standardize! dont rush be analytical mwaka 1988 walirudia masomo yoote ya sayansi sio somo moja kama unavyo tetea hoja yako, na si kwamba wameonewa inawezekana somo hilo wameferi saana hivyo wakistandardise obvous matokeo yatabadirika kwa baadhi ya wanafunzi based on their perfomance, acheni mambo ya udini please nyie watu!
Masomo mengi tuu huwa inatokea, jaribu kufuatilia, especially baada ya rufani, kama kuna mtu kakata rufani huwa wanacountercheck nadhani ndicho kilichotokea!