Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....sioni ukweli wa hii post....div3 to div1....hata kama huyo mdogo wako alipata A ya islamic religion.....
haiwezi turn to div1
ingekuwa ni mathematics au kiswahili its true tungejua alipata penalty...
UNA LENGO GANI?
unaparta div. 1 kwa alama za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa MUNGU.
naomba nikujibu swali lako la kwanza..
kwenye kuapply vyuo masomo kama islamic knowledge,divinity hayahusiki..yatahusika endapo unaaply theology au usheikh(sipo sure kama usheikh unasomewa)..kwahyo hapo hamna kilicho badilika kwenye cutpoints za kuingia chuo.
Kitu ambacho sikushangaa na kitu ambacho nilikitegemea kutokana na viashiria vya awali ni Vurugu za Wana-Uamsho. Natabiri tena kwamba itafika siku, kwa viashiria hivi ambapo Waislam watadai Viti maalum Bungeni kwa ajili ya Waislam. Mark my words!Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limebadili kinyemela bila taarifa matokeo ya Kidato cha Sita ya wanafunzi Waislam. Hii inatokana na malalamiko yaliyotolewa kuhusu kufeli mno wanafunzi Waislam hasa somo la "Islamic Knowledge". Baraza limebadili matokeo yote ya "Islamic Knowledge" kwa kusema kuwa IT wao alikosea pale alipogawanya wastani kwa 4 badala ya 2 kwa kuwa mitihani ilikuwa miwili.Ukiingia katika website ya NECTA hutapata "new" ya habari hiyo, hivyo kuonesha Baraza linajijua limefanya makosa, na kubadili kibyemela matokeo. MASWALI MUHIMU:-1. Jee Waislam waliokwisha omba vyuo wakati wana matokeo tofauti na yaliyotolewa na Baraza inakuwaje?2. Jee hii si dhulma Waislam waliyokuwa wanaitoa kwa Baraza kuwa linawaonea?3. Kwa nini Baraza wasijiuzulu kwa kashfa hii kubwa?NB: Naomba mods msiitoe hii, fuatilieni mtajua ni kweli, mdogo wangu alikuwa na Div III, sasa ana Div I.
naomba nikujibu swali lako la kwanza..
kwenye kuapply vyuo masomo kama islamic knowledge,divinity hayahusiki..yatahusika endapo unaaply theology au usheikh(sipo sure kama usheikh unasomewa)..kwahyo hapo hamna kilicho badilika kwenye cutpoints za kuingia chuo.
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....
mfano alipata CCF hapo ana point 3+3+7=13 si Div III-13 hiyo arifu
haya toa F weka A inakuwa CCA 3+3+1=7 SI dIV 1-7 hiyo arifu
Umekosea kabisa na upo karne iliyopita. Kuna post nyingine humu kama hii, tumeeleza masomo ya Kiislaam yavyosaidia katika vyuo hususan katika sheria na economics. Kuna Islamic Economics ni soko kubwa sana sasa hivi duniani na kuna Shariah nayo inapanda chati kwa kasi.
Kumbuka mabenki ya Kiislaam yanazagaa duniani na pia Wasilaam wanazagaa duniani na wana haki zao amabazo hata kama si mahakama za kadhi, kama hapa kweyu ni lazima ziamuliwe kwa mtazamo wa Kiislaam mwanasheria mwenye ku
mkuu nimekuelewa ila naomba unitajie chuo gani hapa tz kina hiyo faculty ya islamic economics.
unaparta div. 1 kwa alama za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa MUNGU.
NECTA hii ni kashfa kubwa kumbe hawa jamaa wanacholalamikia ni kweli..
Sijawahi kuona unalala umepata DIV III halafu unaamka umepata Div I.
Ndio maana kila siku mie nasema Tanzania hakuna wasomi.
Jaman nisaidieni kidogo, mdogo wake mleta thread ametoka div. 3 mpaka 1 kwa kubadilishiwa matokeo ya Islamic Knowledge, sasa hiyo div. 1 yake itamsaidia vipi kwa siku za usoni? Anaweza kwenda Varsity au atakuwa 'undertaker' na kufundisha watoto jinsi ya kuchamba baada ya 'kukata gogo?' Naomba nisaidiwe, manake kama alichukuwa PCB, nitamfuatilia mpaka nimfahamu ili asije akaua watu baadaye as a doctor!
Hebu nikumbushe Slaa ana udr wa nini vile?
hebu ascan matokeo ya mdogo wake na atuwekee ushahidi wa kubadilishiwa kutoka div 1 hadi 3, chai za asubuhi asubuhi tumezichoka
Bila penati div I ya mwisho ni point ngapi?
na div III ya kwanza ni point ngapi?
kutoka F mpaka A kwenye somo moja mtu anakuwa amepanda points ngapi? je hazimtoshi kumfikisha div I kutoka III?
nauliza kwa sababu nimesahau NECTA wanapangaje hizo divisions.
Thread inahusu NECTA KUBADILISHA MATOKEO YA WAISLAM,sasa dr Slaa Anahusika vp?
Yaani JF vilaza mko wengi...muwe mna analysis kwanza kabla ya kupost mambo ya aibu wakuu....
mfano alipata CCF hapo ana point 3+3+7=13 si Div III-13 hiyo arifu
haya toa F weka A inakuwa CCA 3+3+1=7 SI dIV 1-7 hiyo arifu
A na F wapi na wapi? Kwa ajili ya kosa la kugawa kwa 3 badala ya 2 think twice! Sema unaweza kutoka F hadi E ila sio A.
Ndicho nilicho andika hapo! Nimetoa mfano mwaka 1988 ilikuwa ndio mwaka wa kwanza kutumia IT, hilo lipo ila si kwa sababu ni waislamu! Hujaelewa nini hapo?