sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
anaandamwa kwa sababu ya dini yake ..kwa nini wasimuandame waziri
kina ponda wamesema ni somo la kiarabu na knowledge ya dini ya kiislamu ndio hao watoto wame fail na wakawa wanafananisha na somo la biblia kwamaba watoto wanafaulu sana somo hili, lakini waislamu wanafelishwa lao!
Ushauri; kiarabu ni lugha ngumu wafundisheni watoto wenu somo hilo kwa kiswahili na hawato fail vinginevyo mtatoka mapovu mpaka utimilifu wa dahari! Shuleni mtoto masomo yake anaandika toka kushoto kwenda kulia ninyi mnawalazimisha kuandika toka kulia hii ni ajabu sana!
ndalichako kaihidiwa nafasi maalum kupitia chadema. Kwa hivyo kakaa kimkakati maalum
wani hakuna wakristo waliofeli? unajua wakristo sio walalamishi kama waislam. halafu ukiangalia muundo wa baraza, wazenji ni weng kuliko wabara. waislam ni wengi kuliko wabara. na inawezekana wazanzibar wakawa wanamhujum NDALICHAKO ili ionekane ameharibuZanzibar tunaambiwa kuna wanafunzi wengi majibu ya mitihani yao ilibadilishwa. walipata B lkn wakaambulia F. baada ya kufatilia ndipo walipogundua kwamba matokeo yao sio halali. Hii pia imetokea mwaka huu kwa upande wa tanzania baram kwa uapnde wa shule za waislam. ipo mifano mingi kama utafatilia na kuondoa jazba za kidini utapata maelezo na walioathirika na matokeo. jee kuna komputa za waislam na wasiokuwa waislam? Kwanini NECTA ikosee kwa wanafunzi wa kiislam tu. au hata madhe