Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

Itaondoa uhalali wa umma wa walioko madarakani bila ridhaa yao. Hii itatoa mwanya hata wa mapinduzi kwani watajua hata walioko madarakani hawako kwa ridhaa ya umma.
Wai. Bora kupigania katiba mpya. Huu mpango wako labda usubiri wajukuu.
 
Wai. Bora kupigania katiba mpya. Huu mpango wako labda usubiri wajukuu.

Niko tayari kusubiri wajukuu boss, kuliko kwenda kupoteza muda kwenye mstari wa kura. Na ndio maana mimi ni mdau wa katiba mpya na sio huo upuuzi uitwao uchaguzi kwa tume na katiba hii.
 
Siku wananchi wakigundua wao ndio wenye mammlaka ya kuweka kiongozi wamtakae. Mambo yatabadilika
 
Hayo uliyoandika hayana msingi wowote, ushindi kwa CCM upo wazi na njia ni nyeupe kabisa, pia kumbuka haiwezi kutokea upinzani ukaja kushinda uchaguzi sahau hilo, na kama kudhibitiana hayo yatakuwa ni ndani ya CCM wenyewe kwa wenyewe.
#SSH2025-30.
 
Ok nimekuelewa mkuu, huenda aina ya uandishi wangu umekufanya uone kama kuna kitu nimeongeza.
...hakuna ulichoongeza. mengi yanajulikana. Utaeleweka. Ila umepindisha kudai ni 'Wapinzani" wanaotaka Katiba mpya! Hapana.

Hypothetically au nadharia uliyotumia sio sawa, haswa pale unapodai Wapinzani ndio wanaotaka mabadiliko hayo.
 
Hata ningekuwa mimi ningelamba asali tu kimya kmya Watanzania wenyewe wa kuwapigania ni mazuzu yasiyojielewa kabisa yanin ujisumbue uende Keko mwenyewe.
 
Hata ningekuwa mimi ningelamba asali tu kimya kmya Watanzania wenyewe wa kuwapigania ni mazuzu yasiyojielewa kabisa yanin ujisumbue uende Keko mwenyewe.
 
Mtu anashindwa kujiuliza kama amenunulika sa hivi kwa nini Magu alishindwa kumnunua wakati mwendazake alikuwa anatembeza bahasha kwa madiwani na wabunge.
Kuna watu wamepewa ubongo wa kuvukia barabara tuu
 
Hapa dawa ya viongozi njaa wa upinzani Ni
Kumuomba Mungu Dr Slaa Arudi Chadema
Kwa kushtukiza Hapo 2025 mwanzoni.Na Halafu aruhusiwe kugombea Urahisi kupitia upinzani.PATAMU HAPO NAKWAMBIA.
 
Ha haa. ATCL wamekuja juu wakihoji; mbona Zito amekuwa mzito kuzungumzia juu ya mazito yanayoikabili nchi yetu? Kama vile mgao wa umeme n.k.
Inaonekana Zito ni mzito wa kula na wenzake!
 
Mkuu mi natafuta pesa,siasa sitaki kujishirikisha.
Kufuatilia au kujishirikisha kwenye siasa za Tanzania ni sawa na kujitengenezea stress za kudumu katika maisha yako.
Bora uwe mshabiki wa yanga au simba tu maana kule hakuna unafiki na uchumia tumbo usioeleweka.
 
Ha haa. ATCL wamekuja juu wakihoji; mbona Zito amekuwa mzito kuzungumzia juu ya mazito yanayoikabili nchi yetu? Kama vile mgao wa umeme n.k.
Inaonekana Zito ni mzito wa kula na wenzake!
Mungine kaenda Marekani juzi na kuutangazia umma kwamba safari yake imefanikiwa kwa msaada wa mama mwenye nyumba, yani mama mwenye nyumba tunaemzungumzia hapa ndio huyo aliedhamini safari ya jamaa. Huyo wa act yeye ndo kabisa haungoji kuuliza maana vitendo vinajieleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…