CCM imewahi kupitisha nchi kwenye hali ngumu, kwa sasa mambo si magumu, nchi itapita kwa wepesi tu.
Chadema wanataka katiba mpya ipi ikiwa ya kwao wenyewe imewashinda?
Je wakiingia madarakani na kuirudisha hii iliyopo ili imnufaishe mwenyekiti na genge lake kama alivyofanya kwa katiba ya chama chake ni nani atamzuia?
Serikali ya CCM imewahi kupita nyakati ngumu ambazo huenda hukuwahi kuzisikia au kutangaziwa. Deni kuwa 100T sio tatizo iwapo ni himilivu na nchi inalipa. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara. Ccm itaeendelea kuwa chama sahihi kuiongoza Tanzania 2025-2030.Lini serikali imewahi kulipa mishahara kwa mikopo kutoka nje?. Lini Deni la Taifa limewahi kufika 91 trilion?. Mwakani tu litafika 100 Trilioni. Uchumi hovyo na siasa ni hovyo.
Utakuwa shoga kwa kujua namna wanavyoandikaUmeandika kishoga sana
Atakaa milele mara mbili mbona tayari yupo mileleKwani Mbowe atakaa milele?. Yani katiba Ni mbovu kisa haina ukomo wa Mwenyekiti?. Hicho tu?. Mbowe akistaafu inakuwaje?. Katiba itaendelea kuwa mbaya?
Unajitahidi kuandika ushuzi kwani kati ya uchaguzi aliogombea urais lowasa 2015 na ule wa2010 niupi uliongoza kwa changamoto kwa CCM kama kampen hakushiliki huyo slaaa aliondoka nakundi lake ila CDM ilitisha vilevileWewe hata kuandika hujui lakini umejilazimisha kuandika ili na wewe uonekane kuwa ni mmoja wa waliopo humu kumtetea Mbowe na genge lake. Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini watanzania ambao walikuwa tayari kupigwa mabomu, kukamatwa, kuumizwa na hata kuuwawa wakati wa Dr Slaa leo hii hawako tayari kukutwa na kadhia hiyo baada ya Dr Slaa kuondoka CDM?
Unajua kati ya 2010 hadi 2015 ni watu wangapi walifungwa, walipigwa, waliteswa na wengine waliuwawa kwa sababu tu ya kuandamana na bado watu hawakuchoka wala kuogopa kuandamana? Je ni kwanini baada ya uchaguzi wa 2015 hadi leo watu ndo wamegoma kuandamana?
Ukweli ni kwamba kuanzia mwaka 2010 hadi 2015, watanzania wengi waliamini kwamba wapinzani haswa CDM ikiongozwa na mwana mapambano hodari katibu mkuu wa enzi hizo mh dr Slaa wapo kwa ajili ya kupigania demokrasia, kupambana dhidi ya ufisadi uliokuwa unafanywa na baadhi ya viongozi wa serikali akiwemo mzee Lowasa. Sasa ilipofika mwaka 2015 huyu mlamba asali ninaemzungumzia hapa ndo akaingiza nuksi ndani ya chama baada ya kupewa chake mfukoni ili agawane na genge lake kisha wawapitishe wale waliowaita mafisadi wagombee uraisi kupitia chama chake. Hapo ndo watanzania walipoanza kuona usaliti, uongo na unafiki walio nao wapinzani katika siasa za Tanzania.
Sasa watanzania hao wakaona hamna tena sababu y wao kuwaamini tena viongozi wa upinzani iwe kwa njia ya maandamano, maneno matupu nk.
Tunajua Tanzana hakuna upinzani mkuu.Vyama mbona ni madili ya CCM.Ni wadanganyika tu ndio wanaopoteza muda kupigia upatu walamba asali.Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana nae ubavu mwaka 2025, sasa amehamisha mikakati yake ya ushindi kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vyetu vikuu vya upinzani.
Viongozi hao ambao ndio nguzo kuu ya vyama vyao, tayari wameshatengenezwa kimkakati na mmoja wao aliwahi kuitwa mara mbili katika lile jumba jeupe la taifa na kukabidhiwa bahasha yake kimya kimya kama ishara ya shukran kwa makubaliano yao waliofikia na mama huyo wa nyumba yetu pendwa.
Viongozi hao licha ya account zao kuvimbishwa ili kupata nguvu ya kukamilisha walichopanga, lakini pia walihakikishiwa ulinzi wa maisha yao, ulinzi wa familia zao, ulinzi wa mali zao na pia kufutiwa kesi zao nk.
Mkakati huo utatimiaje, sasa fuatilia vizuri kile ninachoandika hapo chini 👇
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikiitaka serikali itengeneze katiba mpya ambayo wanahisi itaweza kuwasaidia wao kushinda chaguzi mbali mbali na hatimae na kushika dola. Lakini kwa upande mungine pia wanaitaka serikali iifumue tume iliyopo na kuunda tume nyingine "huru" ambayo itawashirikisha wadau wote kwa ukaribu zaidi.
Kwahiyo sasa haya mambo mawili ya "katiba" na "tume huru" ndio yatakayotumiwa na wasukaji wa mpango huo kama kichochoro cha kutimiza mikakati ya ushindi wa mama huyo mwenye nyumba.
Inasemekana kitachofanyika ni kwamba serikali itaendelea na msimamo wake wa kutokuwa tayari kutengeneza katiba mpya wala kuunda tume huru, baada ya hapo kiongozi mmoja "mlamba asali mkongwe" wa upinzani atajifanya kuchukizwa na hali hiyo, kisha atatumia uwezo wake na madaraka yake makubwa katika chama kuwashawishi wenzake ambao asilimia kubwa ameshawatia mfukoni, kwamba wasusie uchaguzi wowote utakaofanyika nchini.
Wakishakubaliana kususia inamaana ushindani wa vyama vingine vya upinzani vilivyopo utakuwa mdogo sana hivyo kumpa mama mwenye nyumba fursa ya kuendelea kutawala yeye na bunge lake kama ilivyo sasa.
Yule kiongozi mungine ambae anatokea katika mkoa uliyopo pembezoni mwa ziwa fulani, atabaki kupewa nafasi ya kubwabwaja bwabwaja pale inapobidi ili kuwafunga macho wale wasiojua kile kinachoendelea katika siasa za nyumbani kwetu.
Dalili za mipango hiyo zimeshaanza kuonekana kwa viongozi hao kutia zip midomo yao, na mmoja wao kufikia hatua ya kwenda kumfagilia mama mwenye nyumba huko katika dunia ya kwanza.
Hii mada ni kwa ajili ya wale watu ambao wako huru kifikra na ki akili, wale ambao wanaona mbali na hawana mihemko ya kisiasa.
Hakika "moyo wa mtu msitu", unachokipanga wewe, sio kile anachokipanga mwenzio. Wakati kuna chawa wanashinda mitandaoni kuwapigania, kuwasifia na kuwafagilia viongozi wao wa vyao, wao wanaopiganiwa, wanaofagiliwa na kusifiwa wako busy kulamba asali kimya kimya na kutelekeza mipango ya vyama vyao kiaina.
Jioni njema wakuu. 🙏
Kupenda upofu.CCM Mara ya mwisho kushinda uchaguzi ilikuwa 2005 kkipindi Cha kikwete. Baada ya hapo wanatumua dola kubaki madarakani. Akili za kuongoza hawana ndio maana serikali inategemea mikopo kulipa madeni.
Umeandika upuuzi mtupu kwa kutanguliza hisia zako badala ya ukweli wako. Unajaribu kuangalia changamoto za uchaguzi wa mwaka 2010 na zile za 2015 bila kutaja uhalisia uliosababisha hizo changamoto hizo.Unajitahidi kuandika ushuzi kwani kati ya uchaguzi aliogombea urais lowasa 2015 na ule wa2010 niupi uliongoza kwa changamoto kwa CCM kama kampen hakushiliki huyo slaaa aliondoka nakundi lake ila CDM ilitisha vilevile
Kilicho fanya upinzani kudorola ninguvu nyingi alizo tumia magu kununua baadhi yaviongozi,kuwatisha watu kwakudili naviongozi mfano kipigo alichopokea lissu nahakuna kingine kilicho warudisha nyuma
Kuhusu uandishi wangu hatufanani kielim chamsingi umeelewa andiko langu
100% 😍😍😍 👍👍👍👍👍Tunajua Tanzana hakuna upinzani mkuu.Vyama mbona ni madili ya CCM.Ni wadanganyika tu ndio wanaopoteza muda kupigia upatu walamba asali.
Sio kila anaewakandia ni ccm. Hizi akili hizi ndo zinafanya msishike dola.Bakini CCM . Hamjalazimishwa.
Huko kwao hakuna demokrasia au uhuru wa kukosoa. Ndio maana akitokea mtu akakosoa lazima wajue kuwa ni CCM ambako uhuru wa kukosoa ni ruhusa.Sio kila anaewakandia ni ccm. Hizi akili hizi ndo zinafanya msishike dola.
Hili huwa hawakubali kamwe, humshambulia aliekosoa vilivyo. Hawachelewi kumuita "mlamba asali"Huko kwao hakuna demokrasia au uhuru wa kukosoa. Ndio maana akitokea mtu akakosoa lazima wajue kuwa ni CCM ambako uhuru wa kukosoa ni ruhusa.
Kwao swala la kukosoa ni usaliti mkubwa, nikiwa na maana kwamba kwao ni bora mtu amkosoe Mungu kupitia biblia au qur ani, lakini sio kumkosoa mwenyekiti wao kupitia katiba ya chama chao.
Na wakati "mlamba asali" wanae ndani ya chama chao ila kwa vile kawatia mfukoni, basi hawana ujanja wa kumwita jina hilo.Hili huwa hawakubali kamwe, humshambulia aliekosoa vilivyo. Hawachelewi kumuita "mlamba asali"
Mkuu umeua tena ukichukulia Watanzania wenyewe walivyowaogawaoga bora urambe AsaliNdo pale ukijifanya una moyo mgumu full kudindisha...unaishia kudondokewa na msemo"asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" ya nini yote hayo sasa
Kuanzia mwaka 2000 hadi 2015 vijana wengi waliandamana sana bila kujali kupigwa, kuumizwa, kufungwa, kuteswa na hata kuuwawa. Kilichotokea Zanzibar mwaka 2001, Soweto kule Arusha mwaka 2012 na patashika zingine zilizopelekea watu kufa na wengine kupewa vilema vya kudumu ni vielelezo tosha kuwa vijana walikuwa tayari kujitoa kwa ajili ya haki zao huku wakiongozwa na misingi haswa ya vyama vyao.Nyie vijana wa Tz tambueni:-
KAMWE CCM HAITAONDOKA MADARAKANI kama mnaacha vyama vya upinzani ndivyo vidai usawa. Kama mnaona ccm inawaonea, jiungeni wote bila kujali chama muwaambie wanawaonea vipi.
Nyie mnadai vyama vya upinzani vinawekwa mfukoni. Angalieni IRAN. Ni nchi ya siasa kali sana ya Kiislamu na wanaopinga serikali wanauawa. Lakini WANAWAKE wameanzisha maandamano nchi nzima bila kujali vyama na japo wanauawa kwa kupigwa risasi, hawaachi kuandamana. Hao ni WANAWAKE.
Kabisa la sivyo majuto ni mjukuuMkuu umeua tena ukichukulia Watanzania wenyewe walivyowaogawaoga bora urambe Asali
Hawezi kuwaHabari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.