Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #141
Yuko busy kusoma vitabuZitto anahangaika sana
Mbona tayari ameshakuwaHawezi kuwa
Huu ndio ukweli wenyewe na tunaoelewa ni wajanja wachache tu.Tunajua Tanzana hakuna upinzani mkuu.Vyama mbona ni madili ya CCM.Ni wadanganyika tu ndio wanaopoteza muda kupigia upatu walamba asali.
Mpango umeshakamilika kama nilivyokwambia, wala haina haja ya kuiba kura. Masikio yanaweza yasisikie, lakini macho nayo hayaoni matendo na maneno ya mwenyekiti pichani na kwenye twita?Mpango ni ule ule wa siku zote
Kuiba kura kama kawaida ya CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachofikiria ni sawa sawa na mtu anaefikiri kwamba anaweza kwenda Marekani kwa kutumia ungo wa wachawi.Bahati mbaya wewe unajua ya mwilini,yarohoni huyajui!,kaa mbali kidogo utaona sapraizi yakutisha na kama hautazimia utakufa kabisa.