Tetesi: Mkakati wa upigaji wa fedha katika anuani za makazi

poisoned

New Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1
Reaction score
11
Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni

(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao watajumuishwa kwenye zoezi bila kujitambua na majina yatakayotumika ni ya wake waliofanya interview na pia wengine walioshiriki mafunzo na kutochukuliwa.

(2) Uendeshaji wa zoezi kwa kuwapumzisha waajiriwa (ambapo wanakuwa hawalipwi siku za mapumziko) lakini kutoa malipo mfululizo ambapo malipo ya siku zote za mapumziko manguli hao watabeba na kutia kapuni

(3) Kulipa malipo tofauti kinyume na Yale ya 20,000/= yaliyoelekezwa ambapo baadhi watalipwa sahihi na baadhi hawatalipwa sahihi

(4) kuzuia malipo ya posho ya wawenyeviti wa mitaa/ vitongoji na hata baadhi yacwatendaji kwa hila mbalimbali ambapo wao kama wakurugenzi mwishoni watayaidhinisha na kushiba vizuri kabisa

Ni wajibu wa vyombo na mamlaka husika kufuatlia kwa ukaribu na kudhibiti haya.
 
...Ngoja Tuone!...
 
Baada ya kukosea huo mchongo unataka kuchomoa betri uharibu ulaji wa watu sio !! Ok best wishes.
 
Hapo kwa wenye viti na serikali ya mtaa ni linawezekana sana.
 
Usisahau kwamba kuna baadhi ya Halmashauri hazijawlipa watendaji waliopata mafunzo na zimeuchuna tu.Wizi haulipi.Wakifukuzwa kazi au kuwajibishwa wanaanza kukesha kwa waganga kulogana au makanisa ya kilokole na kujipaka mafuta hadi wachubuke ngozi.
 
Huku makao makuu zoezi lilianza j, tatu na j.nne, walianzia huko mji wa serikali mtumba na makulu. Ikatokea wenyeviti wa mitaa wamegoma kwa kilichosemekana hawajapewa posho zao!

Zoezi likasimama, mara ikasemekana tena mfumo umesumbua! Mpaka leo zoezi halijaendelea!

Haya uliyoyasema hapa labda kuna ukweli ndani yake'
 
Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni

(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao watajumuishwa kwenye zoezi bila kujitambua na majina yatakayotumika ni ya wake waliofanya interview na pia wengine walioshiriki mafunzo na kutochukuliwa.

(2) Uendeshaji wa zoezi kwa kuwapumzisha waajiriwa (ambapo wanakuwa hawalipwi siku za mapumziko) lakini kutoa malipo mfululizo ambapo malipo ya siku zote za mapumziko manguli hao watabeba na kutia kapuni

(3) Kulipa malipo tofauti kinyume na Yale ya 20,000/= yaliyoelekezwa ambapo baadhi watalipwa sahihi na baadhi hawatalipwa sahihi

(4) kuzuia malipo ya posho ya wawenyeviti wa mitaa/ vitongoji na hata baadhi yacwatendaji kwa hila mbalimbali ambapo wao kama wakurugenzi mwishoni watayaidhinisha na kushiba vizuri kabisa

Ni wajibu wa vyombo na mamlaka husika kufuatlia kwa ukaribu na kudhibiti haya.
Huu ni wizi systematic,sijui vyombo vitumie njia gani kuwahakiki.

Bora malipo yafanyike manually yaani watu physical.
 
pesa inamaliza matatizo au pesa ndiyo chanzo cha matatizo?
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
HILI SWALA TAKUKURU NA VYOMBO VINGINE VYA SERIKALI VINAVYOHUSIKA, WASIBWETEKE, WALISHUGHULIKIE KWA KUANZIA NA WAKURUGENZI MAANA WAO NDO WANAOSUKA MADILI HARAMU NA TAARIFA ZIMFIKIE WAZIRI HUSIKA.

KUNA HALMASHAURI NYINGINE WAKURUGENZI WANAFANYA WIZI HADHARANI KABISA, YANI WANAWAKATA WATU FEDHA ZAO, WENGINE HATA FEDHA ZA MWANZO WA SEMINA HAWAPEWI.

NADHANI HUU NDO MUDA MUAFAKA WA KUWAPIMA WAKURUGENZI NA KUWATUMBUA LIVE BILA CHENGA.
 
Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni

(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao watajumuishwa kwenye zoezi bila kujitambua na majina yatakayotumika ni ya wake waliofanya interview na pia wengine walioshiriki mafunzo na kutochukuliwa.

(2) Uendeshaji wa zoezi kwa kuwapumzisha waajiriwa (ambapo wanakuwa hawalipwi siku za mapumziko) lakini kutoa malipo mfululizo ambapo malipo ya siku zote za mapumziko manguli hao watabeba na kutia kapuni

(3) Kulipa malipo tofauti kinyume na Yale ya 20,000/= yaliyoelekezwa ambapo baadhi watalipwa sahihi na baadhi hawatalipwa sahihi

(4) kuzuia malipo ya posho ya wawenyeviti wa mitaa/ vitongoji na hata baadhi yacwatendaji kwa hila mbalimbali ambapo wao kama wakurugenzi mwishoni watayaidhinisha na kushiba vizuri kabisa

Ni wajibu wa vyombo na mamlaka husika kufuatlia kwa ukaribu na kudhibiti haya.
Yaani bila kamba mbuzi waleje?
 
Mkuu Omba Mungu Sana Nisikukamate,Unataka Kibarua Changu Kiote Nyasi?
 
Back
Top Bottom