Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba nikuulize swali, kwa mujibu wa maelezo ya ukusanyaji anuani za makazi mnakusanya pamoja na taarifa za viwanja, je utapata wapi taarifa sahihi za mtu mwenye kiwanja eneo fulani wakati wewe hutamkuta kwenye hicho kiwanja??? na mwenyekiti wa mtaa hawezi kuwa na taarifa zote za watu wenye viwanja??WENGINE TUMEFANYA SEMINAR HATUJAPEWA HATA MIA..TUNAWAZA ZOEZI LENYEWE TUTAKADILIWA SHINGAPI IKIWA HATA HATUJAAMBIWA MALIPO YA KILASIKU.
Kuna halmashauri huko Arusha yenyewe imesema et malipo ni 10000 kwa siku.Wizi tuSi ni 30,000 kwa siku
Sina hakika kama baada ya hili zoezi matokeo yatakuwa kama tulivyotaraji.Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni
(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao watajumuishwa kwenye zoezi bila kujitambua na majina yatakayotumika ni ya wake waliofanya interview na pia wengine walioshiriki mafunzo na kutochukuliwa.
(2) Uendeshaji wa zoezi kwa kuwapumzisha waajiriwa (ambapo wanakuwa hawalipwi siku za mapumziko) lakini kutoa malipo mfululizo ambapo malipo ya siku zote za mapumziko manguli hao watabeba na kutia kapuni
(3) Kulipa malipo tofauti kinyume na Yale ya 20,000/= yaliyoelekezwa ambapo baadhi watalipwa sahihi na baadhi hawatalipwa sahihi
(4) kuzuia malipo ya posho ya wawenyeviti wa mitaa/ vitongoji na hata baadhi yacwatendaji kwa hila mbalimbali ambapo wao kama wakurugenzi mwishoni watayaidhinisha na kushiba vizuri kabisa
Ni wajibu wa vyombo na mamlaka husika kufuatlia kwa ukaribu na kudhibiti haya.
Kwa mujibu wahusika,kila halmashauri inalipa kulingana na uwezo wake wa mapato.hili zoezi linatumia pesa za makusanyo ya ndani ya halmashauri kama halmashaur ni choka mbayaa malipo yatakuwa choka mbaya.Kuna halmashauri huko Arusha yenyewe imesema et malipo ni 10000 kwa siku.Wizi tu
Moja ya sifa ya muombaji ilitakiwa awe anajua kusoma ramani.Mkuu naomba nikuulize swali, kwa mujibu wa maelezo ya ukusanyaji anuani za makazi mnakusanya pamoja na taarifa za viwanja, je utapata wapi taarifa sahihi za mtu mwenye kiwanja eneo fulani wakati wewe hutamkuta kwenye hicho kiwanja??? na mwenyekiti wa mtaa hawezi kuwa na taarifa zote za watu wenye viwanja??
Naomba kufahamu kwa mujibu wa mafunzo mliyopewa,,utatumia njia gani?
Naona issue hii, ndiyo tafsiri sahihi ya "kula kulingana na urefu wa kamba"!Hapo kwa wenye viti na serikali ya mtaa ni linawezekana sana.
Vyote ulivyovitaja ni kweli tu mkuu.Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.
Mbinu wanayo ipigia mkakati ni
(1) kulipa pesa waajiriwa hewa ambao watajumuishwa kwenye zoezi bila kujitambua na majina yatakayotumika ni ya wake waliofanya interview na pia wengine walioshiriki mafunzo na kutochukuliwa.
(2) Uendeshaji wa zoezi kwa kuwapumzisha waajiriwa (ambapo wanakuwa hawalipwi siku za mapumziko) lakini kutoa malipo mfululizo ambapo malipo ya siku zote za mapumziko manguli hao watabeba na kutia kapuni
(3) Kulipa malipo tofauti kinyume na Yale ya 20,000/= yaliyoelekezwa ambapo baadhi watalipwa sahihi na baadhi hawatalipwa sahihi
(4) kuzuia malipo ya posho ya wawenyeviti wa mitaa/ vitongoji na hata baadhi yacwatendaji kwa hila mbalimbali ambapo wao kama wakurugenzi mwishoni watayaidhinisha na kushiba vizuri kabisa
Ni wajibu wa vyombo na mamlaka husika kufuatlia kwa ukaribu na kudhibiti haya.
Bongo mambo muhimu hayachuliwi siriaz hili zoezi linaendeshwa kama kitu cha upuuzi hawakufanya hata tathimini za kutosha na kuja na mikakati bora ya kuliendea zoezi hili kwa ufanisi ,enewei acha tuendelee kuimba unapiga mwingi.Upigaji upo mkubwa sana na kibaya zaidi wamechukua vijana kutoka mitaani si watumishi wa umma ambao hata kuhoji hawahoji maana hawajui wanzie wapi
Hivi utampelekaji mtu field kuanza kazi unamwambia utalipwa kazi ikikamilika si uhuni huo yani kijana azunguke kutwa nzima bila kula Chochote huu ni uhuni wa kwanza
Uhuni wa pili zoezi limekosa ufanisi haiwezekani kata yenyei kaya elfu kumi unaweka watu wanne tu ndio wasimamie hilo zoezi huo si uhuni
Kwa uzoefu uliopo Kuna kundi kubwa sana la hawa vijana watadhurumiwa pesa zao watamaliza zoezi Kisha wataanza kupewa story njooni kesho Mara mfumo umesumbua mpaka watachoka maana hao wasimamizi wa hili zoezi uko halmashauri njaa nyingi inatakiwa ufutiliaji ufanyike watu wanazurula na malipo ya vijana kwenye mabegi na magari yao wengine washaenda saiti kulipa mafundi
Mkuu naomba nikuulize swali, kwa mujibu wa maelezo ya ukusanyaji anuani za makazi mnakusanya pamoja na taarifa za viwanja, je utapata wapi taarifa sahihi za mtu mwenye kiwanja eneo fulani wakati wewe hutamkuta kwenye hicho kiwanja??? na mwenyekiti wa mtaa hawezi kuwa na taarifa zote za watu wenye viwanja??
Naomba kufahamu kwa mujibu wa mafunzo mliyopewa,,utatumia njia gani?
Daaah! Sio poa kabisa, waanike wapitiwekauli
Hkuna kama hicho kuwa halmashaur inatumia mapato yake, pesa Kwa Ajil ya Kazi HYo ilishapangwa na serikal kuu. Ninachoona halmashaur zimeachiwa uwanja wa kupanga matumiz kulingana na maeneo yake yalivyo...Kwa mujibu wahusika,kila halmashauri inalipa kulingana na uwezo wake wa mapato.hili zoezi linatumia pesa za makusanyo ya ndani ya halmashauri kama halmashaur ni choka mbayaa malipo yatakuwa choka mbaya.
Zoezi hili linaweza lisifanikiwe kwa kiwango kikubwa kwa sababu ya
1.. Vifaa vya kufanyia kazi
2..Mtandao kati ya kwenye data base na kifaa cha kufanyia kazi
3.Fedha za malipo ya wenyeviti wa mtaa na vitongoji.
4.Makazi holela hakuna mpangilio mzuri wa mitaa au vitongoji
Kwanza hata suala la elimu kwa raia haijatolewa wanainchi wengi wanashangaa nyumba zao zinachorwa tu hawaelewi Chochote kuhusu anwani za makazi.Bongo mambo muhimu hayachuliwi siriaz hili zoezi linaendeshwa kama kitu cha upuuzi hawakufanya hata tathimini za kutosha na kuja na mikakati bora ya kuliendea zoezi hili kwa ufanisi ,enewei acha tuendelee kuimba unapiga mwingi.
Hapo namba 3 mbona huko Dodoma Jiji ni sh 30,000 kwa siku. Ukweli ni upi?Kuna taarifa kwamba upo MKAKATI wa makusudi wa upigaji wa fedha kwenye zoezi la anuani ya makazi 'postcodes' kwa baadhi ya wakurugenzi nguli, wabobezi , viburi na wasio na kwenye kutengeneza hila za wizi panapokuwa na fursa.