Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

Mkuu uko Sawa,ila naamini na uzoefu nilionao ,wala cjakosea akienda kupima lazima positive itokee,najua Nina uhakika na watu wa namna hii nimewahudumia sana
Mkanda wa jeshi una uhusiano mkubwa na maambukizi ya VVU lakini sio kila mkanda wa jeshi ni dalili za VVU
 
Ninamfahamu mtu aliyewahi kuugua huu ugonjwa na akapona lakini hakuwa na maradhi ya UKIMWI.

Nadhani ni ugonjwa unaoweza kumpata mtu yeyote japo % kubwa huwapata wenye maambukizi ya ngoma so nikusema hata huyu jamaa anaweza akaangukia ktk hili kundi la kwanza hapo juu.
 
Duh pole sana ndugu ni kweli mara nyingi mkanda wa jeshi huwapata watu wenye upungufu wa kinga mwlini na case nyingi huusiana na VVU. Ila ni bora kwenda kupima na kuhakikisha kama kuna kisabishi kingine.
 
Note: Si wote wenye mkanda wa jeshi wana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kitu cha msingi endelea kumshawishi akubali kwenda hospitali apate vipimo sahihi ili kugundua ukweli.
 
kwa asilimia kubwa mwenye mkanda wa jeshi aweza kuwa mwathirika lakini asilimia chache sio waathirika.
Kuna jamaa ninamfahamu aliwahi kuwa na ugonjwa huo 2007, watu walizusha ni ngoma lkn ilikuwa kinyume chake, jamaa mzima hadi lei
Pole sana kwa tatizo la ndugu yako. (Kuna watu hawashauriki na ukiwashauri ndiyo umeharibu kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…