kwa asilimia kubwa mwenye mkanda wa jeshi aweza kuwa mwathirika lakini asilimia chache sio waathirika.
Kuna jamaa ninamfahamu aliwahi kuwa na ugonjwa huo 2007, watu walizusha ni ngoma lkn ilikuwa kinyume chake, jamaa mzima hadi lei
mara nyingine tutumiage akili kidogo, huyu jamaa hajapimwa na haijathitika kitabibu lkn wengine waneshapata majibu ni ugonjwa gani, kama haitoshi wewe umefikia hatua ya kumhesabu ni marehemu!Ndio anakoelekea
Kwa wenye elimu ya afya wanajua vzr sana jinsi ya mkanda wa jeshi inavyotokea mwilini,nina elimu ya afya najua ninachozungumza na nilikiona mkuu
mara nyingine tutumiage akili kidogo, huyu jamaa hajapimwa na haijathitika kitabibu lkn wengine waneshapata majibu ni ugonjwa gani, kama haitoshi wewe umefikia hatua ya kumhesabu ni marehemu!
Hata kama anao haimanishi atakufa kesho, hivyo waweza kutangulia au mwingine kabla yake
Changisha pesa za rambirambi kabisa..!
HapanaJe kila mkanda wa jeshi ni Ukimwi?
mshauri apime kama ilivyo taaluma yako acha ramli boss, tayari wengine humu wamemtakia makazi mema aendakoHapana
mshauri apime kama ilivyo taaluma yako acha ramli boss, tayari wengine humu wamemtakia makazi mema aendako
hahahhahaaa phala sana weweChangisha pesa za rambirambi kabisa..!
hapana nikiwa mdogo Like 2012 granny alipata mkanda WA jeshi ,na kipindi hicho alikuwa na ulcers alitumia tuu dawa za kupaka na Akapona, mpaka now mzima so napinga sio kila mkanda wa jeshi ni dalili yya ukimwiJe kila mkanda wa jeshi ni Ukimwi?
sahihi sanahapana nikiwa mdogo Like 2012 granny alipata mkanda WA jeshi ,na kipindi hicho alikuwa na ulcers alitumia tuu dawa za kupaka na Akapona, mpaka now mzima so napinga sio kila mkanda wa jeshi ni dalili yya ukimwi
Herpes Zoster. Asili mia 95 wenye ugonjwa juu wana VVUMkanda wa jeshi ndo syphillis au
Umenena vyema niliwahi ambiwa Na dokta mmoja kuwa mtu et kinga ikishuka ni ukimwi niliogopa sana nikafanya FBP kinga yangu iko chini ya ile normal range nilipagawa hatari nikajua tayari apo ilikuwa 2014 lakini nilikuwa napitia msongo mkali sana wa mawazo nikaomba ushauri nikaambiwa nikaambiwa mawazo hushusha kinga ya mwili sikuamini nikasema kama ni ukimwi nitajua mbele ya safari maana kupima inahitaji moyo sana, 2018 nikarudi Hosp kufanya check up nikakuta zimerudi kwenye normal mhh nikaanza kuwa na maswali mengi kichwani mwisho wa siku nikaamua enda pima ili nijue status yangu nikakuta nipo Safi kabisaUpungufu wa kinga mwilini unasababishwa na mambo mengi sana!!!....
Herpes Zoster. Asili mia 95 wenye ugonjwa juu wana VVU
Hakuna usimtishe Na usijifanye mtabiri wacha apime ndo uthibitishe acha kupoint finger kwa mtu, hata kama una elimu ya afya wewe ni binadamu tu mwili wa binadamu unafanya kazi kwa namna ya kipekee sana Na ndio maana kuna case hupelekwa Hosp madaktari wanabaki wanaangaliana tu, muelimishe akapime Na sio kusema ameathirika wakati hujampima,acheni hii unyanyapaaKwa wenye elimu ya afya wanajua vzr sana jinsi ya mkanda wa jeshi inavyotokea mwilini,nina elimu ya afya najua ninachozungumza na nilikiona mkuu
Ni kweli mkanda wa jeshi ulikuwepo kabla hata ya VVU the same na TBMkanda wa jeshi una uhusiano mkubwa na maambukizi ya VVU lakini sio kila mkanda wa jeshi ni dalili za VVU