J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
Kwa wenye elimu ya afya wanajua vzr sana jinsi ya mkanda wa jeshi inavyotokea mwilini,nina elimu ya afya najua ninachozungumza na nilikiona mkuu
kwa asilimia kubwa mwenye mkanda wa jeshi aweza kuwa mwathirika lakini asilimia chache sio waathirika.
Kuna jamaa ninamfahamu aliwahi kuwa na ugonjwa huo 2007, watu walizusha ni ngoma lkn ilikuwa kinyume chake, jamaa mzima hadi lei