Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
HABARINI WAKUU!!
Ni ugonjwa wa aina gani hasa kitaalam?
Dalili zake ni zipi, nini sababu ya ugonjwa huu na matibabu yake ni yapi??
SHUKRANI...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee hua nao ni likely kupata ugonjwa huu, kwa kuwa kinga zao za mwili ziko chini pia,kwa hiyo uzee ni kisababishi kimoja wapo.Ugonjwa huu ni common sana siku hizi, kwa kuwa kwa ujumla kinga zetu zimeshuka,wala sio kwa sababu ya HIV infection tu.Niliwahi sikia hivo pia
Madame S
Dawa nyingi za hospitali na vyakula ambavyo haviupatii mwili virutubishi vya kutosha, kama junk food vinachangia sana kushusha kinga.Kwa hiyo ni lazima kula a balanced diet.Mavyakula mengi ya takeaway ni shida,kwa hiyo tuyaepuke!Hata worries ziinachangia katika kushusha kinga ya mwili.Ni mchanganyiko wa vitu vingi mkuu.
Kwa kupata habari zaidi google "Herpes Zoster."