Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

HABARINI WAKUU!!
Ni ugonjwa wa aina gani hasa kitaalam?
Dalili zake ni zipi, nini sababu ya ugonjwa huu na matibabu yake ni yapi??
SHUKRANI...

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliwahi sikia hivo pia

Madame S
Wazee hua nao ni likely kupata ugonjwa huu, kwa kuwa kinga zao za mwili ziko chini pia,kwa hiyo uzee ni kisababishi kimoja wapo.Ugonjwa huu ni common sana siku hizi, kwa kuwa kwa ujumla kinga zetu zimeshuka,wala sio kwa sababu ya HIV infection tu.

Dawa nyingi za hospitali na vyakula ambavyo haviupatii mwili virutubishi vya kutosha, kama junk food vinachangia sana kushusha kinga.Kwa hiyo ni lazima kula a balanced diet.Mavyakula mengi ya takeaway ni shida,kwa hiyo tuyaepuke!Hata worries ziinachangia katika kushusha kinga ya mwili.Ni mchanganyiko wa vitu vingi mkuu.

Kwa kupata habari zaidi google "Herpes Zoster."
 
Herpes zoster mkuu husababishwa na virus aina ya Varicella Zoster hawa Virus pia husababisha tete kuwanga ,,unapotibu tete kuwanga hawa virus hawafi ispokua wanakua deactivated na kujificha mara nyingi ktk uti wa mgongo sasa bada ya muda wanaweza kurudi.

Dalili inaweza kua rashes ktk ngozi inayopelekea maumivu au kuhisi km unaungua ,, homa ,,maumivu yw kichwa , misuli kua dhaifu n.k. inapozidi kua kubwa Basi unaweza jikuta unapoteza hali ya usikivu vizur masikion au uharibifu wa macho

Inatokea sana Kwa watu walopo juu ya 60 ,,au unatumia madawa yanayopunguza kinga zamwili ,,au km una unamagonjwa yanauopunguza kinga ya mwili (HIV) au , au km nimtumiaji wa matibabu ya chemotherapy and radiation.

Matibabu ,,,, hii kitu aina specific tiba ..isipokua unashauriwa kutumia Ant-viral medication ,,Anti inflammation drugs ,Antihistamines

Kwa wewe mwenyewe nyumban unaweza kujisaidia huku ukiendelea namatibabu Kwa kupumzika ,, tumia calamine lotion ,, tumia barafu katika sehem iloathiriwa ..

N.b. huu ugonjwa huwa unalast within 2 -3 weeks nakuisha nanunaweza kumtokea mtu zaidi ya marq moja somlong as uliumwa tete kuwanga ,,, kama unadumu Kwa muda mrefu Basi nivema kumwona daktar nakufanya kipimo cha damu kubwa ikiwa sababu zotajw hapo juu nyingine sio zako .yaan upo below 60 ,,hujawah tumia chemotherapy au radiation hujawah tumia madawa yanayopunguza kinga za mwili mfano km uliwah tumia steroids.
 
Watazunguka wewe lakini hiyo ni dalili ya UKIMWI na mpaka ifikie hivyo ujue upo mwisho mwisho!
Si kweli ni ugonjwa tu kama ilivyo malaria anaumwa mwenye HIV NA ACYE mi mdg wangu aliugua mwaka 1997 akiwa mdg mpak leo hii ameolewa na ana watot wawil
Alitibiwa kwa tiba asili kwa kuaminishwa kuwa hospital ugonjwa unapoozwa tu kwa juu kwa kukaushwa na sindano hvyo badae huendelea kumdhuru mgonjwa kwa ndani

Na l
Kwa tiba hy ya kienyej anapewa dawa anakunywa yale mapele yanatoka kwa wingiii (maan inasadikik kuwa mapele yaonekanay nje na ndan yapo vilevl)hvyo hupakwa dawa ya kukausha yanayotok nje
 
Sawa
 
Mkanda wa jeshi au 'herpes zhoster' ni ugongwa unaosabanishwa na herpes viruses. Kwa kawaida mtu hasa mtoto mdogo anaweza kuugua ugonjwa unaosababishwa na virus kama surua, kwa kuwa virus huwa hawafi wanakuwa na kawaida ya kuwa dormant hivyo huenda na kukaa kwenye dorsal column ya uti wa mgongo. Kwa wakati wowote kinga ya mwili kama itashuka basi hawa virusi huwa active tena lakn hawaji kama mwanzo huja kama mkanda wa jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herpes zoster mkuu husababishwa na virus aina ya Varicella Zoster hawa Virus pia husababisha tete kuwanga ,,unapotibu tete kuwanga hawa virus hawafi ispokua wanakua deactivated na kujificha mara nyingi ktk uti wa mgongo sasa bada ya muda wanaweza kurudi.

Dalili inaweza kua rashes ktk ngozi inayopelekea maumivu au kuhisi km unaungua ,, homa ,,maumivu yw kichwa , misuli kua dhaifu n.k. inapozidi kua kubwa Basi unaweza jikuta unapoteza hali ya usikivu vizur masikion au uharibifu wa macho

Inatokea sana Kwa watu walopo juu ya 60 ,,au unatumia madawa yanayopunguza kinga zamwili ,,au km una unamagonjwa yanauopunguza kinga ya mwili (HIV) au , au km nimtumiaji wa matibabu ya chemotherapy and radiation.

Matibabu ,,,, hii kitu aina specific tiba ..isipokua unashauriwa kutumia Ant-viral medication ,,Anti inflammation drugs ,Antihistamines

Kwa wewe mwenyewe nyumban unaweza kujisaidia huku ukiendelea namatibabu Kwa kupumzika ,, tumia calamine lotion ,, tumia barafu katika sehem iloathiriwa ..

N.b. huu ugonjwa huwa unalast within 2 -3 weeks nakuisha nanunaweza kumtokea mtu zaidi ya marq moja somlong as uliumwa tete kuwanga ,,, kama unadumu Kwa muda mrefu Basi nivema kumwona daktar nakufanya kipimo cha damu kubwa ikiwa sababu zotajw hapo juu nyingine sio zako .yaan upo below 60 ,,hujawah tumia chemotherapy au radiation hujawah tumia madawa yanayopunguza kinga za mwili mfano km uliwah tumia steroids.
Shukran Chief
 
Asilimia 99.9 yakikutokea hayo malengelenge katika umri ambao ulitakiwa bado kinga yako iwe nyomi,ujue unao kabisa.
Sio kweli. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha kinga ya mwili kushuka chini, mfano mtu ambaye yupo kwenye chemotherapy ya mda mrefu, mtu ambaye anatumia steroids kwa mda mrefu, mtu ambaye amefanya grafting huwa wanaounguza immunity ili kusitokee rejection, kuna magonjwa mengine yanayopunguza immunity nje ya Ukimwi na sabau zinginezo. Victoire
 
Herpes zoster mkuu husababishwa na virus aina ya Varicella Zoster hawa Virus pia husababisha tete kuwanga ,,unapotibu tete kuwanga hawa virus hawafi ispokua wanakua deactivated na kujificha mara nyingi ktk uti wa mgongo sasa bada ya muda wanaweza kurudi.

Dalili inaweza kua rashes ktk ngozi inayopelekea maumivu au kuhisi km unaungua ,, homa ,,maumivu yw kichwa , misuli kua dhaifu n.k. inapozidi kua kubwa Basi unaweza jikuta unapoteza hali ya usikivu vizur masikion au uharibifu wa macho

Inatokea sana Kwa watu walopo juu ya 60 ,,au unatumia madawa yanayopunguza kinga zamwili ,,au km una unamagonjwa yanauopunguza kinga ya mwili (HIV) au , au km nimtumiaji wa matibabu ya chemotherapy and radiation.

Matibabu ,,,, hii kitu aina specific tiba ..isipokua unashauriwa kutumia Ant-viral medication ,,Anti inflammation drugs ,Antihistamines

Kwa wewe mwenyewe nyumban unaweza kujisaidia huku ukiendelea namatibabu Kwa kupumzika ,, tumia calamine lotion ,, tumia barafu katika sehem iloathiriwa ..

N.b. huu ugonjwa huwa unalast within 2 -3 weeks nakuisha nanunaweza kumtokea mtu zaidi ya marq moja somlong as uliumwa tete kuwanga ,,, kama unadumu Kwa muda mrefu Basi nivema kumwona daktar nakufanya kipimo cha damu kubwa ikiwa sababu zotajw hapo juu nyingine sio zako .yaan upo below 60 ,,hujawah tumia chemotherapy au radiation hujawah tumia madawa yanayopunguza kinga za mwili mfano km uliwah tumia steroids.
Tetekuwanga ina chanjo??
 
Tz wanatoa kwel?? Maana naskia huu ugonjwa nilazima utaumwa tu udogoni au ukubwani??
Ndio wanatoa ila sio moja ya chanjo ya ulazima Mara nyingi hii nichanjo ktk kundi lawatu waloko ktk risk ..

N.b wengine hupewa chanjo nabado anaupata tena tete kuwanga
 
Back
Top Bottom