Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Wa Jeshi gani au Jeshi la Wokovu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wanaishi na hiyo kitu miaka mingi unaweza kuta watu na afya zao wanapukutika sana ila yeye yupo tu.Njia yetu ni moja..nyuma yake tutafuata
Siyo wote wanaougua mkanda wanakuwa na virus vya ukimwiNi dalili zinazoonekana moja kwa moja kwa mtu mwenye virusi vya ukimwi,na huwa vina maumivu makali sana,
Fafanua mkuu mkanda wa jeshi kwa maana aliuiba jeshini au aliununua mtumbani, kama una mashaka nae eb mpelekeni polisi sbb unaweza ukaona mkanda2 kumbe na A, k, 47 anamilikiHabari wakuu,
Miaka mitano nyuma niliwahi kusikia japo nimepata uhakika sasa,ilisemwa alitembea na mama moja huko kijijini .
Ndugu yangu ndo amemaliza masomo yake ya juu,nasikitika sana ,nguvu kazi yake inapotea hivi hivi naona.
Najaribu kutumia akili nyingi sana kumshawishi afanye utaratibu wa kwenda hospitali japo mi najua tayari amekanyaga waya,
Kijana bado mdogo sana,nimejaribu kumwambia tufanye hivi ili twende hospitali ili nimwahishe kuanza dawa lakini amekua hataki,na bado hajajua kabisa hili ugonjwa.
Papuchi tunazipenda ila zinatupa sana shida,
Nimejaribu kumshawishi kiakili lkn bado naona hajaamini ninachomwambia kuhusu hospitali.
Nashindwa kutumia njia gani kumuokoa huyu ndugu yangu na tumekua wote, tumecheza wote, tumesoma wote, hakika inauma sana.
Mungu tu ndo atuepushe na hayo majanga,ulisema uoe ,utajilinda mwenzako tabia yake pia hujui yaani ni shida kweli
Habari wakuu,

Mkanda wa jeshi una uhusiano mkubwa na maambukizi ya VVU lakini sio kila mkanda wa jeshi ni dalili za VVU
Samahani mkuu ISIS naomba kufahamu zaidi, je hizo ni dalili ya mtu mwenye VVU? maana nimeishi na VVU kwa muda wa miaka 25 na nimeanza kutumia dozi mwaka 2016 lakini sijawahi kupata hayo madude wala huo mkanda wa jeshiView attachment 937690View attachment 937692View attachment 937693MWENYE ENZI MUNGU ATUEPUSHE WALAHI View attachment 937689
mmmmh Mungu ndo msemaji wa mwishoNjia yetu ni moja..nyuma yake tutafuata
mmmmh Mungu ndo msemaji wa mwisho
Bado hajatwaliwa mbona kama unawashwa na kazi ya Muumbaji mkuuHakikaa...bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amin
Bado hajatwaliwa mbona kama unawashwa na kazi ya Muumbaji mkuu
Akili umeacha wapi?Kwani nae hataki kuingiliwa kwenye anga zake?
Kwani Ni Kinga gani zilikushuka mkuu?Umenena vyema niliwahi ambiwa Na dokta mmoja kuwa mtu et kinga ikishuka ni ukimwi niliogopa sana nikafanya FBP kinga yangu iko chini ya ile normal range nilipagawa hatari nikajua tayari apo ilikuwa 2014 lakini nilikuwa napitia msongo mkali sana wa mawazo nikaomba ushauri nikaambiwa nikaambiwa mawazo hushusha kinga ya mwili sikuamini nikasema kama ni ukimwi nitajua mbele ya safari maana kupima inahitaji moyo sana, 2018 nikarudi Hosp kufanya check up nikakuta zimerudi kwenye normal mhh nikaanza kuwa na maswali mengi kichwani mwisho wa siku nikaamua enda pima ili nijue status yangu nikakuta nipo Safi kabisa
Nilichojifunza: ugonjwa wowote kwa Sasa watu wanauhusianisha Moja kwa Moja na ukimwi hivo ukiumwa ni Bora ukacheck afya kuliko anza ishi kwa hofu apo ndipo utaendelea Fanya mwili udhofike zaidi kwa mawazo wakati huna hayo maradhi
Poleni sanaHabari wakuu,
Miaka mitano nyuma niliwahi kusikia japo nimepata uhakika sasa,ilisemwa alitembea na mama moja huko kijijini .
Ndugu yangu ndo amemaliza masomo yake ya juu,nasikitika sana ,nguvu kazi yake inapotea hivi hivi naona.
Najaribu kutumia akili nyingi sana kumshawishi afanye utaratibu wa kwenda hospitali japo mi najua tayari amekanyaga waya,
Kijana bado mdogo sana,nimejaribu kumwambia tufanye hivi ili twende hospitali ili nimwahishe kuanza dawa lakini amekua hataki,na bado hajajua kabisa hili ugonjwa.
Papuchi tunazipenda ila zinatupa sana shida,
Nimejaribu kumshawishi kiakili lkn bado naona hajaamini ninachomwambia kuhusu hospitali.
Nashindwa kutumia njia gani kumuokoa huyu ndugu yangu na tumekua wote, tumecheza wote, tumesoma wote, hakika inauma sana.
Mungu tu ndo atuepushe na hayo majanga,ulisema uoe ,utajilinda mwenzako tabia yake pia hujui yaani ni shida kweli
Hizo hizo wbc mkuuKwani Ni Kinga gani zilikushuka mkuu?
White blood cell sio synonymous na cd4.