Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
-
- #41
Kumbuka wana mazoez wale sio kila kitu scripted ,kile kipigo aliumia kweli ,Mi siamanigi sana hii kitu, Yaani kipigo chote cha kwenye kitu hakuvunjika, kipigo cha kwenye machela bado Leo amekompete na kushinda? Mi nikishindwa kuangalia usiku nikawaacha mabinti wanaangalia, nilichoka, nimeangalia Review mechi ya koffi na akina Natalia.
Ila the Beast anatisha sana.
Kitu live mzeehaya maigizo bado mnayachukuliaga serious?
Zinaandikiwa script kabisa nothing is real kwenye mieleka. Miaka ya 90 mwishoni nilikuwa mpenzi no1 wa WWE ila baada ya matukio kadhaa nikafuatilia kwa undani, nikagundua kila kitu upangwa kabla ya mapambano.Hii kitu iko staged.
Seth Rollings hawezi mpiga Block Lesnar hata usingizini..
Ngoja nisome tena ulichoandika...
VizuriHii mieleka wanaipenda Sana watoto wangu juzi nilikuwa nachek nao Kwenye channel mpya Dstv namba 128
live ila kipo scriptedKitu live mzee