Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

Mkanda wa WWE warudi kwa Seth Rollin

Mi siamanigi sana hii kitu, Yaani kipigo chote cha kwenye kitu hakuvunjika, kipigo cha kwenye machela bado Leo amekompete na kushinda? Mi nikishindwa kuangalia usiku nikawaacha mabinti wanaangalia, nilichoka, nimeangalia Review mechi ya koffi na akina Natalia.
Ila the Beast anatisha sana.
Kumbuka wana mazoez wale sio kila kitu scripted ,kile kipigo aliumia kweli ,
 
Hii kitu iko staged.
Seth Rollings hawezi mpiga Block Lesnar hata usingizini..
Ngoja nisome tena ulichoandika...
Zinaandikiwa script kabisa nothing is real kwenye mieleka. Miaka ya 90 mwishoni nilikuwa mpenzi no1 wa WWE ila baada ya matukio kadhaa nikafuatilia kwa undani, nikagundua kila kitu upangwa kabla ya mapambano.
 
Lesnar amenyimwa rematch

My client #BrockLesnar and I have been apprised "no rematch will be granted" against WWE's Universal Heavyweight Champion #SethRollins!!! We find this decision to be arbitrary and patently unfair!
Screenshot_2019-08-12-21-19-05.jpeg
 
Back
Top Bottom