Mkandarasi anayejenga barabara pale Mwenge mwambieni ajenge Usiku na Mchana

Mkandarasi anayejenga barabara pale Mwenge mwambieni ajenge Usiku na Mchana

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Eneo korofi kama pale mwenge mataa!
Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku?

Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku?

Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads!
Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa magari yanayokwenda njia ya ubungo ili kupunguza Msongamano wakati wa ujenzi!

Yote kwa yote Mkandarasi aongeze nguvu afanye kazi usiku na mchana with no Excuse!

Tunaomia ni sisi, Nafahamu nyie viongozi mnapita na Ving'ora!

Mungu anawaona!
 
Usiombe foleni kama ya mwenge ikukute halafu uwe na stress za timu ya Simba inauma Mara mbili! Unaweza kushuka ukapiga teke wale wachina hivihivi!
Pole sana ndugu. Shukuru kwamba ujenzi unaendelea na muda si muda utakamilika na utakuwa ukipapita kwa raha mustarehe.
 
Nilikuwa nina tokea mbezi mida ya saa 9 dah foleni ya kiwango cha SG
 
Eneo korofi kama pale mwenge mataa!
Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku?

Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku?

Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads!
Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa magari yanayokwenda njia ya ubungo ili kupunguza Msongamano wakati wa ujenzi!

Yote kwa yote Mkandarasi aongeze nguvu afanye kazi usiku na mchana with no Excuse!

Tunaomia ni sisi, Nafahamu nyie viongozi mnapita na Ving'ora!

Mungu anawaona!
Jamani, Barbara haijengwi na MAGUFULI inajengeka na serikali ya Japan, unaanzaje kusumbua mtu anayekusaidia?
 
Hahahahha..,yani nikisaidie na unipangie masharti ya kukusaidia??!!...
There is no free lunch!
Mikataba iko wazi! kwamba wakati wa ujenzi barabara haipaswi kufungwa! Na watumiaji wa barabara hawatakiwi kuathiliwa na ujenzi unaoendelea!
 
Semeni tu tutawaelewa kwamba mnataka mjengewe mfugale ama kivuruko ("flyover") kingine kutoka City Centre hadi Kawe/Mbezi B/Tegeta
 
Usiombe foleni kama ya mwenge ikukute halafu uwe na stress za timu ya Simba inauma Mara mbili! Unaweza kushuka ukapiga teke wale wachina hivihivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lol
 
Back
Top Bottom