Pole sana ndugu. Shukuru kwamba ujenzi unaendelea na muda si muda utakamilika na utakuwa ukipapita kwa raha mustarehe.Usiombe foleni kama ya mwenge ikukute halafu uwe na stress za timu ya Simba inauma Mara mbili! Unaweza kushuka ukapiga teke wale wachina hivihivi!
Jamani, Barbara haijengwi na MAGUFULI inajengeka na serikali ya Japan, unaanzaje kusumbua mtu anayekusaidia?Eneo korofi kama pale mwenge mataa!
Mkandarasi anapata wapi usingizi wa kulala usiku?
Kwanini eneo lile asiwe anajenga usiku?
Kama hawezi kujenga usiku serikali na Tanroads!
Pelekeni maombi Lugalo Muombe Diversion ya kutumia njia ya mda kupitia jeshini hadi mlimani (Survey-mliman city) kwa magari yanayokwenda njia ya ubungo ili kupunguza Msongamano wakati wa ujenzi!
Yote kwa yote Mkandarasi aongeze nguvu afanye kazi usiku na mchana with no Excuse!
Tunaomia ni sisi, Nafahamu nyie viongozi mnapita na Ving'ora!
Mungu anawaona!
There is no free lunch!Hahahahha..,yani nikisaidie na unipangie masharti ya kukusaidia??!!...
Noma sanaNilikuwa nina tokea mbezi mida ya saa 9 dah foleni ya kiwango cha SG
Hatari sana mkuuNoma sana
Pole sana mimi leo, Makongo - Mwenge Saa 1:30Ebwana leo nomekaa masaa mawili kutoka Mbezi shule mpaka Mlimani city
Duh !Jamani, Barbara haijengwi na MAGUFULI inajengeka na serikali ya Japan, unaanzaje kusumbua mtu anayekusaidia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lolUsiombe foleni kama ya mwenge ikukute halafu uwe na stress za timu ya Simba inauma Mara mbili! Unaweza kushuka ukapiga teke wale wachina hivihivi!
Siyo pouwPoleni sana. Kuweni wavumilivu.
Nchi kweli Sasa hivi inajengwa,mbeleni huko tutakua tunafurahia matunda ya Ujenzi! Kwa Sasa tuwe wavumilivu!!Nilikuwa nina tokea mbezi mida ya saa 9 dah foleni ya kiwango cha SG
Ile foleni inatengenezwa makusudi na askari baada ya Bodaboda " kujiongeza"Nilikuwa nina tokea mbezi mida ya saa 9 dah foleni ya kiwango cha SG