GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiacha Kunukudiwa utabadilika sawa?Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf unaishi dar?.. why are u so much obsessed with Dar? Umesikia mtu kwenye redio ana toa malalamiko yake then umeyabeba na kuja kuyapost humu ili kuwahadaa wana jf wafikirie na wewe UNAISHI Dar wakati wana jf wameshakushtukia UNAISHI porini bunda vijijini. Mkuu jikubali please. Wewe hauishi Dar wala hujawahi kufika dar...
Eti mto mpiji
Umeandika pumba tupuKama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana na wale ambao huwa Wanarandaranda katika Baa maeneo ya Kiembeni, Madiba, Palestina, Masaki, Makao na Baharini kwa Wavuvi panapoitwa Mchango wa Hela.
Mtoa mada sio mzima kichwaniMkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf unaishi dar?.. why are u so much obsessed with Dar? Umesikia mtu kwenye redio ana toa malalamiko yake then umeyabeba na kuja kuyapost humu ili kuwahadaa wana jf wafikirie na wewe UNAISHI Dar wakati wana jf wameshakushtukia UNAISHI porini bunda vijijini. Mkuu jikubali please. Wewe hauishi Dar wala hujawahi kufika dar...
Eti mto mpiji
Kuliko Aliyekuzaa?Mtoa mada sio mzima kichwani
Msg sent.Ukiacha Kunukudiwa utabadilika sawa?
Mtoa mada sio mzima kichwani
Kuulizia Ujenzi wa Daraja la Mto Mpiji utaanza lini ni Kuandika Pumba? Watoto wa Kiume mkiambiwa acheni tabia za Kunukudiwa hovyo kwani zinawaharibu Akili hamsikii na hamtaki Kuacha.Umeandika pumba tupu
Na 'Kunukudiwa' Kwako hovyo pia utabisha?Wala siwezi bisha
🤣🤣🤣 anadhani hatujui kama hajawahi fika Dar. Anatupigia story za kwenye uchambuzi wa magazeti.Wala siwezi bisha
Hayati Magufuli alipokuwepo Ujenzi ulikuwa unakaribia kuanza je, nini kimesababisha baada ya Kufariki tu Ujenzi umesimama na Daraja lipo lipo tu na hakuna Kinachoendelea?Itakuwa pesa hawana
Haupo Dar na hujawahi fika Dar wacha blah blah wewe jamaaKuulizia Ujenzi wa Daraja la Mto Mpiji utaanza lini ni Kuandika Pumba? Watoto wa Kiume mkiambiwa acheni tabia za Kunukudiwa hovyo kwani zinawaharibu Akili hamsikii na hamtaki Kuacha.
Kaka sasa hiv wanatuona manyani hizo pesa bi tozo anajenga kwao pembaHayati Magufuli alipokuwepo Ujenzi ulikuwa unakaribia kuanza je, nini kimesababisha baada ya Kufariki tu Ujenzi umesimama na Daraja lipo lipo tu na hakuna Kinachoendelea?
Umepanic baada ya kuambiwa ukweli. Eti mto mpigi. JAMAA una vituko weweNa 'Kunukudiwa' Kwako hovyo pia utabisha?
Yaani unatumia ID's zako nyingi nyingi Kupambana na Mimi ukijua kuwa nina Akili fupi kama Wewe na sitojua.🤣🤣🤣 anadhani hatujui kama hajawahi fika Dar. Anatupigia story za kwenye uchambuzi wa magazeti.
Aweke picha akiwa dar🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anadhani hatujui kama hajawahi fika Dar. Anatupigia story za kwenye uchambuzi wa magazeti.
Ratiba yako ya KUNUKUDIWA leo inasemaje?Umepanic baada ya kuambiwa ukweli. Eti mto mpigi. JAMAA una vituko wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani unatumia ID's zako nyingi nyingi Kupambana na Mimi ukijua kuwa nina Akili fupi kama Wewe na sitojua.
Unajisikiaje Kupambana nami GENTAMYCINE kwa ID's zako mbalimbali ila bado tu huniwezi na nakukabili vilivyo?