LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Matusi ya mkoani hayaRatiba yako ya KUNUKUDIWA leo inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi ya mkoani hayaRatiba yako ya KUNUKUDIWA leo inasemaje?
Picha niliyonayo ni ya Wewe KUNUKUDIWA tu vipi niitupie tuone ulivyokuwa Ukiukatikia?Aweke picha akiwa dar🤣🤣🤣
Nani alikufundisha KUNUKUDIWA huko?Matusi ya mkoani haya
Akiweka uni tag mkuuAweke picha akiwa dar🤣🤣🤣
Na wew kwa nin usianzishe uzi wako acha uswahili mswahili wew yaan asubuh hii unafanya roho mbayaUmepanic baada ya kuambiwa ukweli. Eti mto mpigi. JAMAA una vituko wewe
Aitoe wapi?Akiweka uni tag mkuu
UNAKONUKUDIWA 24/7.Aitoe wapi?
Aitoe wapi?
Wana amini kuishi Dar ndo ujanja. Ndo maana mtoa mada anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf anaishi Dar wakati mwandiko wake na matendo yake vyote vina suggest yupo kijijini.Halafu hivi Dar huwaga kuna nini cha zaidi, mbona watu wa mkoani hasa mikoa ya kanda ya ziwa wana pashobokea sana. Unajua kuna mwaka nilienda Mwanza nilikula mademu kibao kwa sababu tu nimetoka Dar.
Mtoa mada angekuwa walau amewahi kufika dar angekuwa anajivunia sana kijiji alicho toka kwa sababu Dar watu wa mkoani wana heshimika sana.Wana amini kuishi Dar ndo ujanja. Ndo maana mtoa mada anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf anaishi Dar wakati mwandiko wake na matendo yake vyote vina suggest yupo kijijini.
Upo sahihi kabisaMtoa mada angekuwa walau amewahi kufika dar angekuwa anajivunia sana kijiji alicho toka kwa sababu Dar watu wa mkoani wana heshimika sana.
Ona hata kwenye muziki, Konde Boy, Rayvan etc . Kwenye siasa ndo usiseme ; Zitto Kabwe, Lissu etc.
ila tumsamehe tu bure kwa sababu ushamba ni Mzigo mkubwa sana
Kosa la mleta mada ni lipi?Mtoa mada angekuwa walau amewahi kufika dar angekuwa anajivunia sana kijiji alicho toka kwa sababu Dar watu wa mkoani wana heshimika sana.
Ona hata kwenye muziki, Konde Boy, Rayvan etc . Kwenye siasa ndo usiseme ; Zitto Kabwe, Lissu etc.
ila tumsamehe tu bure kwa sababu ushamba ni Mzigo mkubwa sana
Huo mto ndio mpaka wa kinondoni na bagamoyo na hilo daraja litakua refu sana kutokana na upana mto vp Bado mnavuka kwenye daraja la mbaoKama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana na wale ambao huwa Wanarandaranda katika Baa maeneo ya Kiembeni, Madiba, Palestina, Masaki, Makao na Baharini kwa Wavuvi panapoitwa Mchango wa Hela.
Kuna Daraja la Mchepuko ila siyo imara na halitii matumaini hasa Mvua zikinyesha na Mto ukifurika.Huo mto ndio mpaka wa kinondoni na bagamoyo na hilo daraja litakua refu sana kutokana na upana mto vp Bado mnavuka kwenye daraja la mbao
KAZi ikianza na kuisha mapema litasadia maana kuna foleni kutoka Tegeta mpka Bunju B..Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana na wale ambao huwa Wanarandaranda katika Baa maeneo ya Kiembeni, Madiba, Palestina, Masaki, Makao na Baharini kwa Wavuvi panapoitwa Mchango wa Hela.
Unaingilia ugali wangu kijana mimi ndie mzee mpemba mwenye kile ki fiber boat pale huwa nawavusha sana hao makomandoo wako kwa buku buku sasa wakijenga daraja wake zangu watatu wakale wapi yakheee,Hayati Magufuli alipokuwepo Ujenzi ulikuwa unakaribia kuanza je, nini kimesababisha baada ya Kufariki tu Ujenzi umesimama na Daraja lipo lipo tu na hakuna Kinachoendelea?
Hapa unaongelea chuo cha anga sio chuo cha makomandooKama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana na wale ambao huwa Wanarandaranda katika Baa maeneo ya Kiembeni, Madiba, Palestina, Masaki, Makao na Baharini kwa Wavuvi panapoitwa Mchango wa Hela.