MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kilichopo pale ni Chuo cha Kimataifa cha Makomandoo na Askari wa Vikosi vya Kulinda Amani Congo DR, South Sudan na Lebanon acha Ubishi na Kukurupuka na waache Wanaojua wakujuze yale usiyoyajua.Hapa unaongelea chuo cha anga sio chuo cha makomandoo