Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

Ila lile daraja nadha umuhimu wake ni mkubwa, mfano ikitokea dharura ya daraja la bunju na mapinga pale lile la kule mbweni si linaweza kutumika?
 
Aitoe wapi?

Halafu hivi Dar huwaga kuna nini cha zaidi, mbona watu wa mkoani hasa mikoa ya kanda ya ziwa wana pashobokea sana. Unajua kuna mwaka nilienda Mwanza nilikula mademu kibao kwa sababu tu nimetoka Dar.
 
Halafu hivi Dar huwaga kuna nini cha zaidi, mbona watu wa mkoani hasa mikoa ya kanda ya ziwa wana pashobokea sana. Unajua kuna mwaka nilienda Mwanza nilikula mademu kibao kwa sababu tu nimetoka Dar.
Wana amini kuishi Dar ndo ujanja. Ndo maana mtoa mada anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf anaishi Dar wakati mwandiko wake na matendo yake vyote vina suggest yupo kijijini.
 
Wana amini kuishi Dar ndo ujanja. Ndo maana mtoa mada anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wana jf anaishi Dar wakati mwandiko wake na matendo yake vyote vina suggest yupo kijijini.
Mtoa mada angekuwa walau amewahi kufika dar angekuwa anajivunia sana kijiji alicho toka kwa sababu Dar watu wa mkoani wana heshimika sana.

Ona hata kwenye muziki, Konde Boy, Rayvan etc . Kwenye siasa ndo usiseme ; Zitto Kabwe, Lissu etc.

ila tumsamehe tu bure kwa sababu ushamba ni Mzigo mkubwa sana
 
Upo sahihi kabisa
 
Kosa la mleta mada ni lipi?
 
Huo mto ndio mpaka wa kinondoni na bagamoyo na hilo daraja litakua refu sana kutokana na upana mto vp Bado mnavuka kwenye daraja la mbao
 
Huo mto ndio mpaka wa kinondoni na bagamoyo na hilo daraja litakua refu sana kutokana na upana mto vp Bado mnavuka kwenye daraja la mbao
Kuna Daraja la Mchepuko ila siyo imara na halitii matumaini hasa Mvua zikinyesha na Mto ukifurika.
 
KAZi ikianza na kuisha mapema litasadia maana kuna foleni kutoka Tegeta mpka Bunju B..

Kwahiyo hilo dalaja likikamilika watu wengi wanaonda Bagamoyo watapita njia hiyo
 
Hayati Magufuli alipokuwepo Ujenzi ulikuwa unakaribia kuanza je, nini kimesababisha baada ya Kufariki tu Ujenzi umesimama na Daraja lipo lipo tu na hakuna Kinachoendelea?
Unaingilia ugali wangu kijana mimi ndie mzee mpemba mwenye kile ki fiber boat pale huwa nawavusha sana hao makomandoo wako kwa buku buku sasa wakijenga daraja wake zangu watatu wakale wapi yakheee,
 
Hapa unaongelea chuo cha anga sio chuo cha makomandoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…