James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Muonekano wa milango ya kituo cha afya a zipost,kutwa kuimba na kusifu shenzi kabisa.
umetumia common sense au ndio sheria iko hivyo?Kakosea.Hilo ni kosa na ni hujuma kisheria.Ameenda kuharibu jengo la umma na si kung'oa milango yake.Alipoweka tu hiyo milango(whatever)haikua yake tena.Ni mali ya umma.Akionewa huruma atalipwa na kuitengeneza upya.Akikutana na mimi bush-lawyer,namtupa geto/mung'anda,atatengeneza upya kwa gharama zake na atatoa fidia.Sipendi mtu mjuaji.
Common sense is not oftenly common into me.Sheria na ujingaujinga mara nyingi haviendani.umetumia common sense au ndio sheria iko hivyo?
😅Wako sahihi!
Halmashauri ya Msalala, mkoa wa ShinyangaWilaya gani, mkoa gani
nshawah kubeba lizaga langu kwenye hizo ofis za umma baada yakuletewa ugaigai nililipwa chap sana ni vile tu huna uzoefu na hizi mbanga , hio hela ilishatolewa kitambo wahuni wanajikopeshaga hizo hela ukianza ku draw attention unalipwa chap upite hiviCommon sense is not oftenly common into me.Sheria na ujingaujinga mara nyingi haviendani.
Nadhani Lucas anamaelezo zaid ngoja nimuite Lucas Mwashambwa![]()
Muonekano wa milango ya kituo cha afya Bulige baada ya kung'olewa na mafundi ambao wanadai haki zao kwa muda mrefu ambapo mafundi hao wanataka kuuziwa nyumba kutokana na mikopo waliochukua kwa ajili ya kutengeneza milango hiyo
![]()
Muonekano wa milango ya kituo cha afya bulige baada ya kung'olewa na mafundi ambao wanadai haki zao kwa muda mrefu ambapo mafundi hao wanataka kuuziwa nyumba kutokana na mikopo waliochukua kwa ajili ya kutengeneza milango hiyo
![]()
![]()
Huo ndio muonekano wa jengo la kituo cha afya bulige ambacho kimeng'olewa milango na mafundi kwa madai ya kutokukipwa fedha zao tangu mwaka jana mwezi wa nane
![]()
Hekima ipi mkuu na njaa inauna tumbo linauma? Wangetumia busara ipi?Njia waliyotumia siyo sahihi kwa sababu haiwasaidii na badala yake inawaongezea hasara. Hekima ilitakiwa itumike kufikisha malalamiko yao katika ngazi mbalimbali ili kupata haki yao.
Mkandarasi sio mjinga ujueHasira hasara za hao mafundi..pesa zikiwa tayari itatakiwa kufanyika ukaguzi kabla ya malipo..watakuja kuyaweka tena