DOKEZO Mkandarasi ang'oa milango ya kituo cha afya cha Bulige akilalamika kutolipwa pesa zake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
"Mama anauburuza mwingi" alisikika mwehu mmoja
 
Haujakutana na ujinga wa force acount na uduanzi wa watumishi wa halmashauri wanavyojiona miungu..
Nawaelewa sana walichokipitia hao wadau
 
Ignorance of the law excuses not,and whatever is attached to the land belongs to it,!!! Wamekwisha hao mafundi uchwara ,,pole Yao lakini
 
umetumia common sense au ndio sheria iko hivyo?
Sheria ndio iko hivyo.

Ndio maana kuchukua kandarasi za ujenzi wa ofisi au miradi ya serikali inataka connection,maana ni kama betting,ukiishajenga tu ofisi tayari sio mali yako tena,ukifanya kama jamaa ni uhalifu unafanya.

Kazi yoyote ya umma inaambatana na wito kwanza.
 
Nawewe utatoa fidia kwa kuchelewesha malipo?
 

Utapeli upo mpka unashangaa
 
wakamatwe kwa uhujumu...
kwani mkataba wa kazi hiyo unasemaje?
Mkataba lazima useme ukimaliza kazi utalipwa fedha mlizokubaliana.
Sasa umemaliza na hawakulipi huko ni tayari kuvunja mkataba.
Embu tuache kushabikia mambo ya hovyo ya baadhi ya watumishi wa umma.
Yaani hayo ndio unakuta jitu linakosea ukilikosoa kwa ukali linakuja juu linasema eti NIKOSOE KWA BUSARA AU HEKIMA
 
Jasho linauma waitoe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…