KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,281
Reaction score
7,956
Habari za muda huu
Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana.

Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa Mandela Road na Uhuru Road tu ila huku upande wa Mnyamani hamwagi maji kabisa, ni zaidi ya mwezi sasa tunakula vumbi tu ambalo linaathiri afya na biashara zetu maeneo haya.

Naomba mamlaka husika lilifanyie kazi hili jambo.
IMG_20250801_125200_732.jpg
IMG_20250801_125212_594.jpg

IMG_20250801_125205_278.jpg
 

Attachments

  • IMG_20250801_125258_099.jpg
    IMG_20250801_125258_099.jpg
    481.9 KB · Views: 31
  • IMG_20250801_125222_899.jpg
    IMG_20250801_125222_899.jpg
    536.1 KB · Views: 29
  • IMG_20250801_125202_253.jpg
    IMG_20250801_125202_253.jpg
    491 KB · Views: 34
  • IMG_20250801_125205_278.jpg
    IMG_20250801_125205_278.jpg
    474.8 KB · Views: 34
Mbona hii ndogo mkuu Last month nilikuwa Kagera wilaya ya Muleba wale jamaa wa mradi wa bomba la mafuta sidhani hta km maji wanayajua maana sio kwalile vumbi wanalolitimua pale
 
Back
Top Bottom