A
Anonymous
Guest
Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona kinachoendelea upande mwingine.
Hivyo inaweza kuwa hatari kwa usalama wa Watumiaji, kingine ni kuwa vumbi linaweza kusababisha madhara ya kiafya.
Hili linaloendelea si sawa kabisa Serikali iiangalie kwa umakini, mbona ni jambo dogo tu kumwaga maji.