A
Ama mji!Mama mitano tena!Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda.
Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi hii, kwanza watumiaji wa vyombo ni hatari kwao kwa kuwa vumbi likiwa jingi ni vigumu kuona kinachoendelea upande mwingine.
Hivyo inaweza kuwa hatari kwa usalama wa Watumiaji, kingine ni kuwa vumbi linaweza kusababisha madhara ya kiafya.
Hili linaloendelea si sawa kabisa Serikali iiangalie kwa umakini, mbona ni jambo dogo tu kumwaga maji.
Kama ni jambo dogo kumwaga maji muulize Lamomymbona ni jambo dogo tu kumwaga maji.
Ngosha uliho!!Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda.