Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe watu wenye maarifa bado wapo humu, maan kuna mwingne atakuja kushusha lawama kwa serikali ya Chama tawalaShida wahuni wakishinda Tenda wanatoa % kwa hao waliowasaidia kupata hiyo kazi wakiamini watapata faida kumbe kwenye hizi kazi hasa zinazohusisha manunuzi mengi bidhaa zinatoka Nje ya Nchi inakua tatizo kidogo kila mabadiliko ya rate ya usd yanapotokea na sijui Serikali inawasaidia vip hawa Wakandarasi kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei wanayopandisha kila siku...waliingia mkataba bei ya Diesel ilikua Tsh 1735 leo hii Diesl ipo Elfu tatu na ushee hivi kama hakuna makubaliano mengine hapo lazima wachemshe na walivyo wajanja wakifukuzwa wanajua watalipwa 30m nje ya Mahakama. Serikali ili msiendelee kupoteza hela kwa kulipa huko kaeni na hiyo Kampuni muone mnatatua vipi hilo tatizo kuliko likikua itakua tatizo zaidi..
Ehhh! Mungu saidia hii ngozi nyeusi walau tutoke hapa tulipo. Kwanini mambo yetu yanakwama kila tukifurukuta? Ni kweli sisi tumelaaniwa?Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu.
Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama, hatufanyi chochote cha maana kwa kuwa mafuta ya Disel kwa ajili ya kuendeshea mitambo hayapo.
Uongozi umetuambia wazi kuwa Disel ndio ishu lakini hilo haliwezi kuwekwa wazi badala yake wametangaza kufanya maamuzi mengine ya kupunguza muda wa kufanya kazi.
Tumewekewa tangazo kuhusu kupunguzwa muda wa kufanya kazi, lakini ukweli ni kuwa hata huo muda ambao tunaenda kazini hatufanyi chochote.
Serikali iangalie huu mradi kwa ukaribu, ni wa kwetu Watanzania, hivyo zigo lote likiachwa kwa Mkandarasi bila kujali ana mapungufu au la.
Hongera sana mzalendo wa kweli 🙏🙏🙏Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu.
Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama, hatufanyi chochote cha maana kwa kuwa mafuta ya Disel kwa ajili ya kuendeshea mitambo hayapo.
Uongozi umetuambia wazi kuwa Disel ndio ishu lakini hilo haliwezi kuwekwa wazi badala yake wametangaza kufanya maamuzi mengine ya kupunguza muda wa kufanya kazi.
Tumewekewa tangazo kuhusu kupunguzwa muda wa kufanya kazi, lakini ukweli ni kuwa hata huo muda ambao tunaenda kazini hatufanyi chochote.
Serikali iangalie huu mradi kwa ukaribu, ni wa kwetu Watanzania, hivyo zigo lote likiachwa kwa Mkandarasi bila kujali ana mapungufu au la.
Mtanikumbuka 😂😂🔥Hapo ndipo lile Jitu Jiwe lilikuwa halipingwi.Jiwe lingewaponda wakanya na kukojoa mafuta na mradi ungeendelea.
Mm naona huo mradi kuna watu hawataki uishe kabisa,kwa sababu zao wenyewe.Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu.
Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama, hatufanyi chochote cha maana kwa kuwa mafuta ya Disel kwa ajili ya kuendeshea mitambo hayapo.
Uongozi umetuambia wazi kuwa Disel ndio ishu lakini hilo haliwezi kuwekwa wazi badala yake wametangaza kufanya maamuzi mengine ya kupunguza muda wa kufanya kazi.
Tumewekewa tangazo kuhusu kupunguzwa muda wa kufanya kazi, lakini ukweli ni kuwa hata huo muda ambao tunaenda kazini hatufanyi chochote.
Serikali iangalie huu mradi kwa ukaribu, ni wa kwetu Watanzania, hivyo zigo lote likiachwa kwa Mkandarasi bila kujali ana mapungufu au la.
Nafuu huyu ameamua kupunguza wafanyakazi ili kupunguza usumbufu na migogoro baadaye!
Mbona mchina wa lot ya Mwanza hana makelele na anapiga kazi kama kawaida! kwa nini walichukuwa mkandarasi asiekuwa na mtaji? .
Yule CCECC anajenga Kigongo-Busisi na SGR na hana malalamiko.
Hakuna kiongozi mpenda maendeleo aichukie hyo miradi hila njia alizokuwa jpm anatafuta hela kwahyo miradi ndio ngumu mama akisema afuate njia hyo mtalalamika deni la taifa limezidi jpm alikuwa anakopa kwenye mabank ya kibiashara yenye riba kubwa sana mama hawezi kukopa huko lakini ana njia zake kutafuta pesa miradi iendelee na itaendeleaSTG ,na bwawa la umeme Ni miradi toka magu anazindua nilikuwa ninawasiwasi nayoo ...haikuwa na Baraka kabisa ya baadhi ya viongozi ,ndio maana wanaipuuza
Mbona jibu ni simple, mwenye mradi, Serikali, hana hela za mradi!Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu.
Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama, hatufanyi chochote cha maana kwa kuwa mafuta ya Disel kwa ajili ya kuendeshea mitambo hayapo.
Uongozi umetuambia wazi kuwa Disel ndio ishu lakini hilo haliwezi kuwekwa wazi badala yake wametangaza kufanya maamuzi mengine ya kupunguza muda wa kufanya kazi.
Tumewekewa tangazo kuhusu kupunguzwa muda wa kufanya kazi, lakini ukweli ni kuwa hata huo muda ambao tunaenda kazini hatufanyi chochote.
Serikali iangalie huu mradi kwa ukaribu, ni wa kwetu Watanzania, hivyo zigo lote likiachwa kwa Mkandarasi bila kujali ana mapungufu au la.
Haya ni maneno ya mtoto aliybebwa kwenye mbeleko, mama kachoka anakaribia kuzimia, yeye mtoto analilia pipi ya mjini!Huyo mkandarasi anataka sisi tumnunulie dizeli? kama aligawa rushwa awafuate hao hao wampe pesa ya dizeli sisi tunahitaji mradi ukamilike kwa wakati.