JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Mama anaupiga mwingi,kazi, iendelee, ni mwendo wa kufatilia yanga na Simba, na miziki ya zuchu, na story za, kondeboy na kajara!
Siku tukishituka, nchi imeishauzwa,
Mama yupo bize kutafuta PHD za, heshima! Ili aitwe Dokta Samia,
Kwa ufupi nchi inaongozwa na kilaza,siku tukishituka, nchi haipo,
Siku tukishituka, nchi imeishauzwa,
Mama yupo bize kutafuta PHD za, heshima! Ili aitwe Dokta Samia,
Kwa ufupi nchi inaongozwa na kilaza,siku tukishituka, nchi haipo,