JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hakuna kama jiwe na wala hatokuja kutokea the was a real man.Jiwe litabaki kuwa jiwe. Hakuna kama jiwe. Hata kama lilikanyaga haki zenu jiwe was a real deal. Hakika jiwe lilikuwa ni lijiamba. Aka mwamba
Yote sawa!Kapunguza working hours na sio watenda kazi
Kama ni kweli, basi hali ni mbaya. Hivi zile bilioni 75 si zingetosha kununua diesel?Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu.
Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama, hatufanyi chochote cha maana kwa kuwa mafuta ya Disel kwa ajili ya kuendeshea mitambo hayapo.
Uongozi umetuambia wazi kuwa Disel ndio ishu lakini hilo haliwezi kuwekwa wazi badala yake wametangaza kufanya maamuzi mengine ya kupunguza muda wa kufanya kazi.
Tumewekewa tangazo kuhusu kupunguzwa muda wa kufanya kazi, lakini ukweli ni kuwa hata huo muda ambao tunaenda kazini hatufanyi chochote.
Serikali iangalie huu mradi kwa ukaribu, ni wa kwetu Watanzania, hivyo zigo lote likiachwa kwa Mkandarasi bila kujali ana mapungufu au la.
Unaongelea serikali gani? Awamu ya sita haikuwepo wakati mradi unaanza isingeweza kujua haya.Ina maana wakati jamaa anashinda tenda serikali haikuona kama pumzi itakatikia njiani!
Nadhani kuna namna sio kwamba walioshindwa hawakuwa na vigezo ila walikuwa na mkono mfupi.
Mkuu. Kuna viumbe Huwa siwaelewi. Kwa dhati kabisa, naamini huu mradi tungekuwa tunakula matunda yake leo hii.Jiwe litabaki kuwa jiwe. Hakuna kama jiwe. Hata kama lilikanyaga haki zenu jiwe was a real deal. Hakika jiwe lilikuwa ni lijiamba. Aka mwamba
Sasa mbona mama Kwa miaka miwili tu pamoja na misaada bwerere amekopa mara 2 zaidi ya JPM na hakuna la maana alilofanyaHakuna kiongozi mpenda maendeleo aichukie hyo miradi hila njia alizokuwa jpm anatafuta hela kwahyo miradi ndio ngumu mama akisema afuate njia hyo mtalalamika deni la taifa limezidi jpm alikuwa anakopa kwenye mabank ya kibiashara yenye riba kubwa sana mama hawezi kukopa huko lakini ana njia zake kutafuta pesa miradi iendelee na itaendelea