Mmmm Yepi wamechoka sanaaaa..Hatari sana, ninapata shida ninaposikia eti YARPI ana hali ngumu kiuchumi..
Huyu Yarpi alikuwepo Ethiopia na kamaliz kazi bila kelele, huku Yarpi ni giant kule Turkey na hizi projects heavy ndio issue zake za kila siku.
Nafikiri Tatizo hapa ni kifo cha JPM, angekuwa JPM yuko hai leo hii bila shaka train ingekuwa inatembea.
Mmmm Yepi wamechoka sanaaaa..
.......wana madeni hadi aibuuuuu....mnoo sanaaa
Mwigulu Nchemba amefanya yakeHuwa najiuliza sana, Hawa hawa Yarpi Merkezel ninaowajua leo hawana hela tena baada yakuja Tanzania!, kuna hatari ikawa kuna Yarpi nyingine na jina jingine huko ughaibuni na ikawa 3 x than Yarpi ile..
Turkish are mafiaz since those days of ottoman, and Yarpi inamilikiwa na ile ile circle ya wahuni wa Instanbul kwa mbali pia kuna hela ya wahuni wauza mafuta wa persia...aaah eti wamefirisika kwenye hii SGR ya 500km....hahahahaha