DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hatari sana, ninapata shida ninaposikia eti YARPI ana hali ngumu kiuchumi..

Huyu Yarpi alikuwepo Ethiopia na kamaliz kazi bila kelele, huku Yarpi ni giant kule Turkey na hizi projects heavy ndio issue zake za kila siku.

Nafikiri Tatizo hapa ni kifo cha JPM, angekuwa JPM yuko hai leo hii bila shaka train ingekuwa inatembea.
Mmmm Yepi wamechoka sanaaaa..
.......wana madeni hadi aibuuuuu....mnoo sanaaa
 
Huyo mnayeomba awatetee ndiye ameukwamisha mradi na kumkwamisha mkandarasi. Ningeandika hapa kama si kuona uvivu kutype kwa simu.
Kwa ufupi tuna serikali moja ya kipumbavu na ya kihuni sana, sana. Nasisitiza SANA.
 
Tumefanya kazi huko ni ujinga mtupu, Toka kipindi anashindwa kulipia mafuta ya mitambo na magari, mara maji ya kunuwa Hata week mnakaa bila bila niliona dalili Mbaya. Tumefanya kazi kama sub Toka mwezi wa pili certificate hazijalipwa hadi Leo. Uhuni uhuni tu nchi hii
 
Nakubaliana na wewe Dr. Nilikuwa kibarua camp ya Itigi,jamaa wamesitisha shughuli ZOTE,kwa ufupi hakuna kinachoendelea kwa Sasa,Yapi Iko hoi...
 
Mmmm Yepi wamechoka sanaaaa..
.......wana madeni hadi aibuuuuu....mnoo sanaaa

Huwa najiuliza sana, Hawa hawa Yarpi Merkezel ninaowajua leo hawana hela tena baada yakuja Tanzania!, kuna hatari ikawa kuna Yarpi nyingine na jina jingine huko ughaibuni na ikawa 3 x than Yarpi ile..

Turkish are mafiaz since those days of ottoman, and Yarpi inamilikiwa na ile ile circle ya wahuni wa Instanbul kwa mbali pia kuna hela ya wahuni wauza mafuta wa persia...aaah eti wamefirisika kwenye hii SGR ya 500km....hahahahaha
 
Huo mradi wa reli ni upigaji kiwango cha 5G na nchi itafilisika...uliona wapi mradi wa ujenzi unapunguza nguvu kazi
 
Sioni cha ajabu.
Surviving ya Makampuni mengi hapa nchini (hasa ya kigeni) huwa ni ile janja/fursa ya kubadili majina kila baada ya muda Fulani (baada ya holiday tax)

Kinyume na hapo, kuendesha kampuni kwa mfumo wa faida hapa nchini yataka kazi hasa, moja wapo ni Kama huo ukatili (redundacy) dhidi ya wafanya kazi.

Wapigaji/upigaji umekithiri sana hata sekta zisizo rasmi.
 
Huwa najiuliza sana, Hawa hawa Yarpi Merkezel ninaowajua leo hawana hela tena baada yakuja Tanzania!, kuna hatari ikawa kuna Yarpi nyingine na jina jingine huko ughaibuni na ikawa 3 x than Yarpi ile..

Turkish are mafiaz since those days of ottoman, and Yarpi inamilikiwa na ile ile circle ya wahuni wa Instanbul kwa mbali pia kuna hela ya wahuni wauza mafuta wa persia...aaah eti wamefirisika kwenye hii SGR ya 500km....hahahahaha
Mwigulu Nchemba amefanya yake
 
Back
Top Bottom