Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

Mkuu kumbe tumekopa fedha za mradi unatuchanganya mkuu Rais mara kadhaa amesema huu mradi unajengwa kwa makusanyo ya ndani toa ushahid kuwa tumekopa pesa za mrad huu vingnevyo huu n uzushi
 
IPTL hii habari ni ya uchochezi. Unataka watu wanaosoma uzi wako waamini kwamba serikali haina pesa za kumlipa mkandarasi ili naye awalipe wazabuni wake - wakati ni uongo mkubwa. Pesa za mradi zipo. Utafikishwa mahakamani kwa kuleta uchochezi!
 
Mkuu kumbe tumekopa fedha za mradi unatuchanganya mkuu Rais mara kadhaa amesema huu mradi unajengwa kwa makusanyo ya ndani toa ushahid kuwa tumekopa pesa za mrad huu vingnevyo huu n uzushi
Dar-Moro ni pesa za ndani...Moro-Dodoma tumekopa...U cant do a project of such a magnitude kwa pesa za ndani tu ilihali only less 5% ya watanzania ndio walipa kodi na pamoja na kutokulipa kodi still wanataka barabara,maji,huduma za afya na mengineyo...tuache kulalamika tufanye kazi,tushukuru Mungu kwa kile kidogo kinachofanyika na pia tusisahau kuiombea Mama Tanzania ifanikiwe ktk mipango yake regardless ya who is in power...Othewise tunakua wachawi tusioshika tunguli tunaoamini hatuwezi kufanikiwa bila kumshusha fulani.
 
TUOMBENI MUNGU, MRADI UISHE. maana una faida kwetu, kututoa sehemu moja kwenda nyingine.
 
Asante sana kwa kufahamisha...Kumbe kelele nyingi tu tunaora reli haiishi.
 
Kazi ya Umma inahitaji umakini. Sio utaratibu mzuri kuweka madeni ya Subcontractors mpaka miezi sita.

Kipande Cha Dar - Moro kilitakiwa kukamilika mwezi Novemba mwaka jana, lakini mpaka leo bado na haijulikani kitakamilika lini. Ni muhimu wadau kupewa taarifa sahihi ili kuepuka minong'ono.
 
Mwezi Nov Mwaka jana kwa hesabu zipi? Mradi umeanza May 2017 na ni mradi wa miezi 36(Miaka 3)...hujaweka atleast 3 month ya Mobilization...hio Nov mradi unaishaje?...sometime tuache unafiki nafiki
 
Kwa mimi ninavyoona kama nguvu ya kwanza ingekuwa kuishia Morogoro tungekuwa tushamaliza zamani,shida ni kuanza phase 2 kabla ya 1 kumalizika.
 
Ukweli ni kwamba hakuna pesa.
SGR inasusua vibaya, ambapo kwa mwelekeo wa sasa hata tupewe miaka 10 hatuwezi kukamilisha.

Sasa tunahaha mchina atupe mkopo!
Tunasahau kuwa miaka minne iliyopita tulimwita mchina ni mwizi na tapeli kwenye mpango wake wa kujenga mradi wa Bandari ya Bagamoyo.

Yote tisa, Mchina alikuwa anaitaka Bandari ya Bagamoyo au gesi ya Mtwara. Na huenda hilo likawa ndio sharti lake kuu ili atupe mkopo wa kukamilisha SGR.

No free lunch!
 
Reactions: BAK
Wewe endelea kuota
 
Tulianza kusikia machuma yanaibwaa kumbee kwelii sasa wauza vyumaa chakavu itakuwa ndio sababu au YAPI...! Yanii tunapata shider kuelewa kabisa au pesa ndio shider cjui vipi ni vipi au ndio sihasaa maana siasa saivi hakunaa kabisaa...
 
Mwezi Nov Mwaka jana kwa hesabu zipi? Mradi umeanza May 2017 na ni mradi wa miezi 36(Miaka 3)...hujaweka atleast 3 month ya Mobilization...hio Nov mradi unaishaje?...sometime tuache unafiki nafiki
Mkuu hebu soma kwa huyu mwana Lumumba hapa halafu uone wewe na yeye nani anasema kweli


Ukimaliza ongezea na hii


 
Kuwakaribisha wachina,bora tuwape makaburu wa SA,wafanye yao,Hawa tunaoleana,lakini,chines watatushika makalio tu
 
Reactions: BAK
Naam kule Zambia na Sri Lanka tayari wanalia na muda si mrefu tutaanza kulia vilio vya kusaga meno kwa ukurupukaji wa hii serikali haramu.
Kuwakaribisha wachina,bora tuwape makaburu wa SA,wafanye yao,Hawa tunaoleana,lakini,chines watatushika makalio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…