Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Mkuu kumbe tumekopa fedha za mradi unatuchanganya mkuu Rais mara kadhaa amesema huu mradi unajengwa kwa makusanyo ya ndani toa ushahid kuwa tumekopa pesa za mrad huu vingnevyo huu n uzushiUkisoma comment za watu ndipo utagundua jinsi Ngozi nyeusi tulivyo na Uchawi mwingi..
Watu wana tamani huu mradi ufail...Sasa ukifeli nani atakula hasara? Sisi tutakao kosa usafiri wa haraka na nafuuu? Tutakao loose a competitive Edge over our competitor(kenya) ktk kusafirisha mizigo to land loocked countries?
Sisi tukaolipa deni tulilokopa kuijenga hii reli ilihali haifanyi kazi au viongozi watakao kua wamestaafu? Kwa watu ambao wamewahi kujenga kijumba ht cha vyumba vi3 wanajua ugumu wa Ujenzi...kuna wakati hela inakata na vibarua wapo site unawambia utawalipa kesho coz hela uliyoitegemea hukuipata au uwape nusu nyingine utawamalizia kesho..kuna wakati unasimamisha ujenzi ili ujipange kwanza...na kipindi hicho chote mama watoto unamwabia abane matumizi mpo kwenye ujenzi...wanayo yapitia YAPI MERKEZI or Serikali ktk mradi huu yanamkuta mtu yoyote aliewahi kujenga and there is no fun or shame in that..