Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

Kwahiyo hao wa awamu iliyo pita ni kutoka serikali ya wapinzani au ccm?
Hata kama wamekula at least mradi unaonekana kuliko awamu ile watu wamekula mamilioni ya fesha za bunge la katiba nasa wale wa mipasho na ule mradi wa Sulivan toka USA tukadanganywa ni wawekezaji hakurudi hata mmoja kuja kufungua japo mradi wa chipsi mayai
 
Ila hamna mradi watu wamekula pesa awamu hii kama huu, Ngoja tuone mwisho wake.







Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Kama wafanyakazi wanakula pesa ndefu kiasi hicho, tujiulize wenye mamlaka wanakula pesa ndefu kiasi gani,

Tafakari.
 
Hata kama wamekula at least mradi unaonekana kuliko awamu ile watu wamekula mamilioni ya fesha za bunge la katiba nasa wale wa mipasho na ule mradi wa Sulivan toka USA tukadanganywa ni wawekezaji hakurudi hata mmoja kuja kufungua japo mradi wa chipsi mayai
Hivi mkuu wetu alikula nae za Bunge la Katiba?
 
Pesa Zipo Nyingi
Huyo Mkandarasi Ni Kibarua Wetu Tu
 
Nasemaje hii nchi ni tajiri mno,mtoa mada apuuzwe.

Haha ukiona serikali haiongezi japo buku kwenye mshahara wa mfanyakazi,na gharama za maisha zinaongezeka.Maana yake nchi iko taabani ni dua na sala zilizotoa Korona zitumike.
 
Huyu Yapi atakuwa kandarasi wa kazi za kuunga unga pengine na mtaji wake ni mdogo.

Kama yeye miezi saba hajalipa wafanya kazi wake na anatoa tangazo la kulipa nusu mshahara na siku ya malipo kama nimeona vizuri ni ijumaa ambayo ni sikukuu, huo ndio uhuni na utapeli wa hali ya juu.

Siku moja nilisikiliza hotuba ya Mheshimiwa akisema Yapi walipe hao makandarasi ili kazi iishe kwa wakati,

Tuseme government ndo haimlipi Yapi, maana mikataba ya malipo inafahamika, kandarasi hulipwa kila baada ya hatua au baada ya kipande fulani cha kazi.

Yapi tuseme kalipwa kalala mbele na hela za watu?

okay, endapo wafanyakazi wa Yapi watagoma wao kama front line ya kazi, hao wa nyuma yao watafanya kazi gani.

Au tuseme reli ya Mheshimiwa imesimama kujengwa mpaka kandarasi aamue kulipa wafanyakazi wake na alipe kandarasi nyingine ndogo ndogo.

Hapa ni jamvini, Mheshimiwa yuko msibani lakini anao vijana wake huku mitandaoni ambao yote mema hata mabaya yatamfikia.

Poleni wafanyakazi wote na kandarasi zote mnaofanya kazi kwenye reli ya Mheshimiwa.

Hili nalo litapita, ni muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You totally missed the point chief, that was a compliment! Hawa jamaa hawana tatizo walimwaga pesa vizuri kwa wafanyakazi wao, kuanzia wa technical mpaka upande wa mgt.









Let's meet at the top, cheers 🥂


stephot






Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Ukisoma comment za watu ndipo utagundua jinsi Ngozi nyeusi tulivyo na Uchawi mwingi..
Watu wana tamani huu mradi ufail...Sasa ukifeli nani atakula hasara? Sisi tutakao kosa usafiri wa haraka na nafuuu? Tutakao loose a competitive Edge over our competitor(kenya) ktk kusafirisha mizigo to land loocked countries?
Sisi tukaolipa deni tulilokopa kuijenga hii reli ilihali haifanyi kazi au viongozi watakao kua wamestaafu? Kwa watu ambao wamewahi kujenga kijumba ht cha vyumba vi3 wanajua ugumu wa Ujenzi...kuna wakati hela inakata na vibarua wapo site unawambia utawalipa kesho coz hela uliyoitegemea hukuipata au uwape nusu nyingine utawamalizia kesho..kuna wakati unasimamisha ujenzi ili ujipange kwanza...na kipindi hicho chote mama watoto unamwambia kabisa abane matumizi mpo kwenye ujenzi...wanayo yapitia YAPI MERKEZI or Serikali ktk mradi huu yanamkuta mtu yoyote aliewahi kujenga and there is no fun or shame in that..
 
Back
Top Bottom