Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wakati tupo kwenye msiba!
Mtoa uzi umeandika kama umefurahi hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa uzi umeandika kama umefurahi hivi.
Naona usanii na porojo tu sababu mrad sasaiv ndio umeshika Kasi watu wanajenga Mpaka usiku
Hata kama wamekula at least mradi unaonekana kuliko awamu ile watu wamekula mamilioni ya fesha za bunge la katiba nasa wale wa mipasho na ule mradi wa Sulivan toka USA tukadanganywa ni wawekezaji hakurudi hata mmoja kuja kufungua japo mradi wa chipsi mayai
Kasi yake iendane na kuwalipa madeni yao siyo kasi kasi huku wazabuni wanalia njaa
Kama wafanyakazi wanakula pesa ndefu kiasi hicho, tujiulize wenye mamlaka wanakula pesa ndefu kiasi gani,Ila hamna mradi watu wamekula pesa awamu hii kama huu, Ngoja tuone mwisho wake.
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Huo ulikuwa ni uwongo mtupuTuliambiwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Nini tena kimetokea?!
Mmefirisika kisiasaChadema huyo!
Hivi mkuu wetu alikula nae za Bunge la Katiba?Hata kama wamekula at least mradi unaonekana kuliko awamu ile watu wamekula mamilioni ya fesha za bunge la katiba nasa wale wa mipasho na ule mradi wa Sulivan toka USA tukadanganywa ni wawekezaji hakurudi hata mmoja kuja kufungua japo mradi wa chipsi mayai
Kama nyie mlivyoandika kwakufurahi kipindi Lissu alipochakazwa risasi mwili mzimaMtoa uzi umeandika kama umefurahi hivi.
Kivipi mkuu..?Ila hamna mradi watu wamekula pesa awamu hii kama huu, Ngoja tuone mwisho wake.
Let's meet at the top, cheers 🥂
Muache apunguze stress vinginevyo zitamuua.
Kuna muhuni mmoja alipewa uwazir wa viwanda na biashara alizindua had cherehani kisa yeye ni propagandist kasomea China hukoUtendaji wa awamu hii unatumia mno propaganda kuliko uhalisia wa mambo tutaona mengi.