Mkapa alisimamia uchumi, Kikwete demokrasia, Magufuli maliasili, Samia kama hivyo vimekushinda hata UTU?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.

Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?

Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.

Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki kwa Uhaini.

Viongozi wa dini wanashambuliwa hata kukemea tu hakuna zaidi ya kutoa pole. Kiongozi haishii kutoa pole.

Aliyewahi kumsikia Rais akiongelea masuala ya UCHUMI atuambie.

Bandari, maliasili zinaporwa, she doesn't care.

She is not serious in almost everything, hata UTU? kwani gharama ya utu bei gani.

RIP. Mkapa at least ulisimamia Uchumi, Kikwete at least ulisimamia Demokrasia hata kama ilikuwa ya kinafiki lkn tuliona ikitendeka. Magufuli ingawa ulikuwa huna Utu lkn ulionesha kulinda Maliasili za nchi.
 
Kwa kweli Mungu ampumzishe Rais wangu Mkapa kwa amani.
 
utaweza kufanya usicho na uwezo nacho.?! labda kuangalia ze comedy wakati nchi ikiwa kwenye majonzi ya kufiwa na watu kutekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…