Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
 
Kwa serikali yoyote litokeapo jambo la kiongozi mkubwa kufariki huwa wanakuwa na vikao vingi vya siri, hii yote ni katika kutazama zaidi usalama wa nchi na iwapo kutatokea hatari yoyote basi wawe wamejipanga tayari. Bado namsifu Mkapa kwa kutendea haki kutangaza bila kubadili tarehe katika kifo cha hayati Dr Omar Ali Juma aliyekuwa Makamu wa Rais JMT na mauti kumkuta akiwa madarakani.
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

hebu tupe uhakika wa hili unalosema??
usikute ndo nyie mkiona mtu kazimia tu tyari mnaanza kafariki na shimo mnachimba kabisa na jeneza kununua.............
kufa kwa mtu kuna process sana tena sio ndogo wewe umeona mandela mara ngap watu wamezusha kafariki??

nchi za watu kila linalohitajika ili kuzuia umauti linafanyika na mtu husemwa kwamba kafariki pindi ubngo wake unapofariki ila kama unaonyesha dalili ya uhai hata kwa micro Amps huyu mtu ataambiwa yuko hai na atasaidiwa ili aweze kupumua..
sema jingine ila sio izi porojo za kitaa
 
Lakini si alikufa, Mimi naona Kujua ni lini alifariki Halinamsaada kwa vyovyote vile. Swali Kwani Baadhi ya Madhehebu ya Kikristo yanapokuwa yanasherekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo Tarehe 25th Dec ni nani alikuwepo au tunauhakika au hata imeandikwa wapi Yesu alizaliwa tarehe hiyo??. Hii ni Kumbukumbu tu na Heshima kwa Kiongozi Mkuu anapokuwa ametoweka duniani.
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

Sasa wewe na huyo Mkapa bora nani!? na pengine ni nini hasa lengo la huu uzi wako..!?
 
Sioni sababu ya ku argue specific date, maana wanaojua nyerere alikufa lini siyo Mkapa, bali madaktari waliokuwa wanamhudumia, hivyo kama na wao walitoa wrong date siyo kosa la mkapa.

Ishu ni kwamba Nyerere amekufa FULL STOP!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Speechless but mimi nadhani ungetoa hoja ya kama taifa tungetoa gharama yoyote ile ili aendelee kuishi if could be possible,naona kama alivyofariki taifa halikuhamasishwa sana(comparing to SA Mandela alipoumwa juzi juzi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tupe evidenzi mkuu mbali na hivo usilete habari za vijiweni
 
Hivi ni kweli nyerere umeuliwa na mkapa? Tafadhali mheshimiwa mwalimu kama unanisikia nijibu kwa faida ya watanzania. Na utuambie kwanini alikuua?
 
hebu tupe uhakika wa hili unalosema??
usikute ndo nyie mkiona mtu kazimia tu tyari mnaanza kafariki na shimo mnachimba kabisa na jeneza kununua.............
kufa kwa mtu kuna process sana tena sio ndogo wewe umeona mandela mara ngap watu wamezusha kafariki??

nchi za watu kila linalohitajika ili kuzuia umauti linafanyika na mtu husemwa kwamba kafariki pindi ubngo wake unapofariki ila kama unaonyesha dalili ya uhai hata kwa micro Amps huyu mtu ataambiwa yuko hai na atasaidiwa ili aweze kupumua..
sema jingine ila sio izi porojo za kitaa

Muulize huyo jamaa,Mandela alikaa siku ngapi hospital mpaka watu wakadai ameshafariki,siyo huyo tu,aliyekuwa waziri mkuu wa israel bwana sharoon amekaa hospitali "ICU"yapata miaka minane sasa,lakini yote kwa yote inawezekana yupo sahihi,atuambie tarehe sahihi aliyofariki mwalimu with evidences!
 
Lakini mkuu una ushahidi wa kutosha kwamba kapa alitudanganya au ni hisia zako tu
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.

Tareh halisi ya kufa Nyerere wewe kwako inakusaidia nini? Mzee wa watu mwacheni, amekamilisha yake, apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom