Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Huku kwetu tunajua bado yupo na ndiye rais.
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Wewe utakuwa ni Yericko. Nimekumbuka ulivyomshambulia mzee wetu kwenye uchaguzi wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki mwaka uleee...
 
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Yuko wapi kwanza
 
Back
Top Bottom