Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
mi nashkuru tu kuwa leo ni holiday...ila sina maadhimisho yoyote kwa nafsi yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
navojua kuwa hakufariki tarehe kama ya leo hayo mengine wanajua sumaye na mkapa kama wako humu jamvini wanajibu kimoyo kimoyo.
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Ushahidi uko wapi?Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Ungekuwa South Africa ungeshamuua Mandela kitambo.... Mkapa yawezekana baada ya kuona gharama zinazidi kuwa kubwa! na dalili za kupona mzee ni ngumu na pia na endapo angepona uuzwaji wa mashirika ya Uma ungekuwa ni mgumu pengine alipata ushauri machine izimwe tu na kawaida machine ikizimwa ndio unakuwa mwisho wa matumaini ya uhai wa mgonjwa... so kinachofuatiwa ni kutangaza kifo tu... ndio sababu kuu... Nchi yetu sio ya kitajili kumuhudumia mstaafu kwa gharama kubwa kihivyo.... Hizo kesi nazokupa za wakuu wa nchi Kama South Africa na Israel.... Israel Waziri mkuu wa nchi hiyo hedi leo hii yupo kwenye machine inayomsaidia kupumua...Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
lengo langu kuanzisha uzi huu siyo kutaka kumrudishia Nyerere uhai la hasha bali kutaka viongozi wetu wawe wanasema ukweli pale tukio linapotokea mfano kuna matukio mengi yametokea hapa nchini ambao yamechukua uhai wa watz wengi ila viongozi wetu hawasemi ukweli mfano:
mlipuko wa mabomu mbagala na gongo la mboto,
ajali ya treni ya dodoma,
ajali ya meli ya mv bukoba,
ajali ya meli ya mv skargit,
ajali ya meli ya mv spice,
kuporomoka kwa jengo dar,
kufa kwa mahabusu huko mbeya.
Sasa ukijaribu kuangalia vizuri ni kua viongozi wetu hawatoi exactly idadi kamili.
Cc baba v.
Hapa ndio utajuwa Faiza Fox na hili jinga si mashabiki wa CCM Bali ni mashabiki wa dini ya kigaidi.